Hii ni hujuma? Siku moja baada ya bwawa la JNHHP kuzinduliwa umeme unakatika

Hii ni hujuma? Siku moja baada ya bwawa la JNHHP kuzinduliwa umeme unakatika

Labda kuna Mambo ya kitaalamu yanabadilishwa ,tuwe wavumilivu kuliko kukimbilia kuweka hisia zisizo na ushahidi
Unajua miradi mingapi iliyozinduliwa kwa mbwembe na hii serekali ya ccm ime fail au inasua sua au imekufa?
usinijibu ngoja tusubiri!
 
Back
Top Bottom