Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Sio nchi nzima. Kwangu toka asubuhi nina umeme mkuu.Tangu saa kumi mpaka sasa tunasubiri kuangalia mechi kati ya Azam na Pamba Jiji.
Umeme umekatika nchi nzima. Habari tulizoambia kuna mega watt 2115 ni kama kupiga ndulu tu.
ok. 🐒Tangu saa kumi mpaka sasa tunasubiri kuangalia mechi kati ya Azam na Pamba Jiji.
Umeme umekatika nchi nzima. Habari tulizoambia kuna mega watt 2115 ni kama kupiga ndulu tu.
Hata mimi nimeshangaa wakati siku nzima leo natumia umemeNchi ipi hiyo mkuu.
😆Hmm...
Nchi nzima ya wapi? Mi niko Malawi, na mtaani kwetu Kuna umeme... au we uko nje?
Mmemfanyaje muhitaji sioni uzi😁Hata mimi nimeshangaa wakati siku nzima leo natumia umeme
Mods wamefuta, ni tapeliMmemfanyaje muhitaji sioni uzi😁
Anatia huruma, huyu dawa yake hakuna kufuta pm yake, mimi kuna mmoja sijafuta tangu mwaka jana anabadili user name kama kichaa naziona pale akibadili anaanzisha uzi anaomba tena 😂Mods wamefuta, ni tapeli
Alinifanya nianze kumfatilia,Anatia huruma, huyu dawa yake hakuna kufuta pm yake, mimi kuna mmoja sijafuta tangu mwaka jana anabadili user name kama kichaa naziona pale akibadili anaanzisha uzi anaomba tena 😂
Huyu dogo ni mafia aisee😀Alinifanya nianze kumfatilia,
Akarudi pm chapu kufuta namba, akasahau kuwa wengine tuko mbele ya muda.
Mkuu kuna watu aisee, acha tu. Hawa ndo wanataka nchi.Hata mimi nimeshangaa wakati siku nzima leo natumia umeme