Hii ni Kwa wale mnaoona wenzenu Hawana kazi za kufanya!

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
HII NI KWA WALE MNAOONA WENZENU HAWANA KAZI ZA KUFANYA!

Anaandika, Robert Heriel

Wakati nasoma, Sisi wengine tulikuwa kundi la wale vijamaa ambavyo huwezi kutuona tumeshika Daftari wala begi la shule. Kutandikwa kisa hatujaandika Notes ilikuwa ni kitu cha kawaida Sana,. Kelele mwanzo mwisho.
Sasa kuna wale Ndugu zetu waliokuwa wanasongoka, yaani muda wote wapo na Daftari, notes zote wameandika.

Sisi hatukuwa na time nao, lakini wao walikuwa na time na Sisi, walikuwa wanatuona kama wajinga wajinga😀😀 ATI hatuna malengo, seriously! Yaani walikuwa wanatudharau. Yaani wao Wanafikiri kushinda na madaftari muda wote ndio kusoma😂, au kuuliza maswali darasani au kujibu ndio kuwa na Akili🤣🤣.

Sasa mziki ulikuwa kwenye matokeo. Hapo ndipo Sisi tulikuwa tunawashangaza, matokeo yakitoka Wahuni tumo😂, alaah! Walivyo wajinga wanadhani umebahatisha,😀. Matokeo yanayofuata Umoo! Wanajiuliza kulikoni!

Matokeo ya mwisho ya Kidato cha nne, Umoo! Alafu wao hawamo😂😂 tena upo kwenye Listi ya juu Kabisa ya wale vichwa WA shule.
Hivyohivyo mpaka Kidato cha sita na CHUO.

Hali hiyo inaendelea mpaka huku mitaani.
Kuna wale jamaa wanapenda Sana kujishughulisha, na kweli wanajishughulisha, ni Tabia nzuri. Lakini wanakasumba Mbaya ya kuwaona wasiojishughulisha ati ni WAJINGA, wengine huwadharau na kuwaona wanapoteza muda wao.😊😊
Ni kama wanawaonea wivu wasiojishughulisha.

Yaani wanapenda Kwa vile wao wanajishughulisha wanataka kila MTU ajionyeshe anavyojishughulisha.
Ajabu ni kuwa, wale wanaoonekana hawajishughulishi(sio wote) Maisha Yao ni mazuri kuliko wanaojishughulisha.

Ni kweli Kabisa, MTU hawezi kuishi Maisha mazuri bila Kazi. Ila sio lazima MTU kila akifanyacho kila MTU Ajue. Au afanye Kwa kujionyesha kuwa anafanya kitu Fulani.

Kuna kazi za kila Siku na kuna kazi za Msimu.
Kuna kazi za nguvu, na kuna kazi za Akili pia kuna kazi zinazohitaji Akili na Nguvu.

Ni kweli Kabisa MTU hawezi kufaulu mitihani pasipo kusoma, Hilo ni kweli Kabisa. Lakini sio lazima ukisoma usome Kwa kujionyesha Mbele za Watu. Au usome darasani au kila Siku.
Wapo Watu ili wafaulu darasani ni lazima wasome kila Siku, lakini kuna wengine akisoma mara mbili Kwa wiki inatosha kwani ubongo wake unaouwezo mkubwa wa kuingiza na kutunza kumbukumbu.
Hapo ndipo Watu wanapokwama.

Ooh! Anashinda kijiweni!
Oooh! Anashinda mitandaoni!
Hivi kama ungekuwa hata na Akili kidogo, si ungejiuliza, huyu MTU anamke, anawatoto, wanakula, wanavaa, anaishije?
Huyu MTU kila muda Yuko online, anashinda mtandaoni, hivi bando anatoa wapi? Chakula anapataje, nguo na bills zingine anapataje? 😂😂

Ninyi mnaowaona WENZENU HAWANA KAZI, subirini matokeo ndio muanze kuzungumza, matokeo ndio yataonyesha kile kila mmoja alichokifanya katika Maisha yake.
Unaweza kuwa Bize for nothing kama harakati za Pimbi. Yaani MTU kila Siku anaharakati lakini hakuna matokeo yoyote, Maisha yake ni yaleyale tuu. Kula tuu inamsumbua, mavazi tuu yanamsumbua alafu huyohuyo anawaponda wasiojionyesha kujishugulisha.

Ni Sawa na Mafarisayo, yaani Kwa vile anajionyesha Mbele za Watu ni Mwema alafu kuna wale wasiopenda kuonekana Mwema basi Farisayo anajipiga kifua kuwa yeye ni Mwema na anastahili kujibiwa na Mungu.

Maisha hayapo hivyo.

Wasiojishughulisha mbona Hawana time na ninyi?
Walevi mbona Hawana time na Msiokunywa? Ninyi kila Siku kuwasema Huko makanisani na misikitini lakini kwenye Field wanawatoa knockout.

Wito; Kazi ni muhimu kwani ni kipimo cha utu. Lakini kujifanya unafanya kazi kuliko wengine huku matokeo yako ni sifuri huo NI wendawazimu.
Fanya kazi Kwa weledi, sio lazima ujionyeshe. Pia epuka kuishi bila Kazi.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Kuna mdgo wangu alikua anaonekana mjnga yeye ni kubeti na kulala tu juz kapita na mkeka wa m 10 mar 6 mkuu,ni kma kastaafu akiw na 21 wanakuja ndugu ooh sijui ulivyokuwa mdgo nilikua nakubeba na blabla nyingi

Nilikubeba Mkuu. Alafu ulikuwa hupendi Kula. Sema ulikuwa na Akili kama za Uncle wako.
Embu niazime laki tatu nitakurudishia,
Naenda kupulizia mikorosho yangu.
 
HII NI KWA WALE MNAOONA WENZENU HAWANA KAZI ZA KUFANYA!

Anaandika, Robert Heriel

Wakati nasoma, Sisi wengine tulikuwa kundi la wale vijamaa ambavyo huwezi kutuona tumeshika Daftari wala begi la shule. Kutandikwa kisa hatujaandika Notes ilikuwa ni kitu cha kawaida Sana,. Kelele mwanzo mwisho.
Sasa kuna wale Ndugu zetu waliokuwa wanasongoka, yaani muda wote wapo na Daftari, notes zote wameandika.
Sisi hatukuwa na time nao, lakini wao walikuwa na time na Sisi, walikuwa wanatuona kama wajinga wajinga[emoji3][emoji3] ATI hatuna malengo, seriously! Yaani walikuwa wanatudharau.
Yaani wao Wanafikiri kushinda na madaftari muda wote ndio kusoma[emoji23], au kuuliza maswali darasani au kujibu ndio kuwa na Akili[emoji1787][emoji1787].
Sasa mziki ulikuwa kwenye matokeo. Hapo ndipo Sisi tulikuwa tunawashangaza, matokeo yakitoka Wahuni tumo[emoji23], alaah! Walivyo wajinga wanadhani umebahatisha,[emoji3]. Matokeo yanayofuata Umoo! Wanajiuliza kulikoni!
Matokeo ya mwisho ya Kidato cha nne, Umoo! Alafu wao hawamo[emoji23][emoji23] tena upo kwenye Listi ya juu Kabisa ya wale vichwa WA shule.
Hivyohivyo mpaka Kidato cha sita na CHUO.

Hali hiyo inaendelea mpaka huku mitaani.
Kuna wale jamaa wanapenda Sana kujishughulisha, na kweli wanajishughulisha, ni Tabia nzuri. Lakini wanakasumba Mbaya ya kuwaona wasiojishughulisha ati ni WAJINGA, wengine huwadharau na kuwaona wanapoteza muda wao.[emoji4][emoji4]
Ni kama wanawaonea wivu wasiojishughulisha.

Yaani wanapenda Kwa vile wao wanajishughulisha wanataka kila MTU ajionyeshe anavyojishughulisha.
Ajabu ni kuwa, wale wanaoonekana hawajishughulishi(sio wote) Maisha Yao ni mazuri kuliko wanaojishughulisha.

Ni kweli Kabisa, MTU hawezi kuishi Maisha mazuri bila Kazi. Ila sio lazima MTU kila akifanyacho kila MTU Ajue. Au afanye Kwa kujionyesha kuwa anafanya kitu Fulani.

Kuna kazi za kila Siku na kuna kazi za Msimu.
Kuna kazi za nguvu, na kuna kazi za Akili pia kuna kazi zinazohitaji Akili na Nguvu.

Ni kweli Kabisa MTU hawezi kufaulu mitihani pasipo kusoma, Hilo ni kweli Kabisa. Lakini sio lazima ukisoma usome Kwa kujionyesha Mbele za Watu. Au usome darasani au kila Siku.
Wapo Watu ili wafaulu darasani ni lazima wasome kila Siku, lakini kuna wengine akisoma mara mbili Kwa wiki inatosha kwani ubongo wake unaouwezo mkubwa wa kuingiza na kutunza kumbukumbu.
Hapo ndipo Watu wanapokwama.

Ooh! Anashinda kijiweni!
Oooh! Anashinda mitandaoni!
Hivi kama ungekuwa hata na Akili kidogo, si ungejiuliza, huyu MTU anamke, anawatoto, wanakula, wanavaa, anaishije?
Huyu MTU kila muda Yuko online, anashinda mtandaoni, hivi bando anatoa wapi? Chakula anapataje, nguo na bills zingine anapataje? [emoji23][emoji23]

Ninyi mnaowaona WENZENU HAWANA KAZI, subirini matokeo ndio muanze kuzungumza, matokeo ndio yataonyesha kile kila mmoja alichokifanya katika Maisha yake.
Unaweza kuwa Bize for nothing kama harakati za Pimbi. Yaani MTU kila Siku anaharakati lakini hakuna matokeo yoyote, Maisha yake ni yaleyale tuu. Kula tuu inamsumbua, mavazi tuu yanamsumbua alafu huyohuyo anawaponda wasiojionyesha kujishugulisha.

Ni Sawa na Mafarisayo, yaani Kwa vile anajionyesha Mbele za Watu ni Mwema alafu kuna wale wasiopenda kuonekana Mwema basi Farisayo anajipiga kifua kuwa yeye ni Mwema na anastahili kujibiwa na Mungu.

Maisha hayapo hivyo.

Wasiojishughulisha mbona Hawana time na ninyi?
Walevi mbona Hawana time na Msiokunywa? Ninyi kila Siku kuwasema Huko makanisani na misikitini lakini kwenye Field wanawatoa knockout.

Wito; Kazi ni muhimu kwani ni kipimo cha utu. Lakini kujifanya unafanya kazi kuliko wengine huku matokeo yako ni sifuri huo NI wendawazimu.
Fanya kazi Kwa weledi, sio lazima ujionyeshe. Pia epuka kuishi bila Kazi.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
I real needed to read something like this today...ujue umenikosha wapi?...1. aina za Kazi 2. Kujifanya mwema kwà watu ( kumsema mtu vibaya ili uonekane mwema kwà mtu au watu)
 
Hilo ni tatizo kubwa.
Unamuona MTU Mbaya alafu unashangaa Peponi Yumoo!😂😂 Alafu wewe unayejiona Mwema Out!
 
Back
Top Bottom