secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Je ni ruksa kumtukana shetani kwa matusi mazito?
Nasema hivi kwa sababu jana nilipitia karibu na kijikanisa cha kilokole nikasikia waumini wakimtukana shetani kwa matusi mazito tena mengine ni ya nguoni, eti "shetani shenzi kabisa, mwizi mkubwa, ***** la mama yako, Malaya weeee, ndo maana husimamishi, ma**ko yako.......".
Hivi kweli mungu anaturuhusu kumtukana shetani kikama walivyofanya hawa walokole.
Tukumbuke tu ya kwamba hata shetani ni kumbe wa mungu.
Sijui lakini labda kweli tunaruhusiwa.....