Hii ni kwa wanaompenda na kumcha Mungu tu

Dunia ina mambo hadi jogoo anaweza kutaga mayai yafaayo kwa chipsi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu nimecheka kifala et ndo maana hausimamishi daah!!
 
Je ni ruksa kumtukana shetani kwa matusi mazito?

Nasema hivi kwa sababu jana nilipitia karibu na kijikanisa cha kilokole nikasikia waumini wakimtukana shetani kwa matusi mazito tena mengine ni ya nguoni, eti "shetani shenzi kabisa, mwizi mkubwa, ***** la mama yako, Malaya weeee, ndo maana husimamishi, ma**ko yako.......".

Hivi kweli mungu anaturuhusu kumtukana shetani kikama walivyofanya hawa walokole.
Tukumbuke tu ya kwamba hata shetani ni kumbe wa mungu.

Sijui lakini labda kweli tunaruhusiwa.....
Mzee unawazingizia aisee[emoji2]
 
Unatupiga kamba kwenye hii kamba yako(thread) 😁

Mkuu ukiona unamcha Mungu alafu katika fikra yako kuna matusi, mtu wa MUNGU sio tu hauruhusiwi kutukana|||kinywa kichafu bali hautaki wi kuwa na mawazo machafu katika fikra zako.

Kwasababu mwili wako ni hekalu la Mungu linapaswa kua na mambo|fikra chanya,,, sasa hekalu la Mungu linakua na uchafu tena/mambo hasi.
 
Kuhusu kuwapiga kamba nakataa lakini kwenye kuwa na fikra chanya kama mcha mungu nikubaliana na wewe.
Yaani shetani hutakiwi kumtukana hata kama ni adui yako.
 
Yaani Mungu na shetani ni sawa na chanya na hasi,

Katika chanya huku ndio kuna matendo mema(matakatifu) ukiwa mtu wa matendo mema unakua unatetema katika frikwensi za juu na itakuwa unaakisi|resonate mambo mema maishani mwako na hata ukifanya maombi unapata matokeo kwasababu umenyooka.

Katika hasi uku ndio kuna matendo ya maasi kinyume na utakatifu, ukibase upande huu unakua unatetema katika frikwensi za chini na unakua unaakisi|resonate mambo hasi/mabaya maishani mwako na hata ukifanya ibada za kigiza/kihasi zinajibu.

Bora kuwa moto au baridi kuliko kua vuguvugu... Ukiwa vuguvugu yaani katika kati ya hizi visisimushi vya nguvu inamaana unakua hauna nguvu yoyote ya kiroho. kujibiwa maombi yako ya kiroho yawe chanya/nuru ama hasi/giza inakuwa ngumu unakunakuwa unatumika kama daraja/ buffering zone/neutral point.

Sasa ukiwa unafagilia mambo chanya harafu kumbe fikra zako zina mambo hasi unakua haueleweki hauna upande wewe ni vuguvugu... Na potential yako hapa duniani inakua inatumika vibaya.

Bahati mbaya fikra ndio yenye nguvu hivyo itaamua hata matendo yako hivyo kama huato badilika mwisho wa siku utajikuta upande hasi/shetani hivyo kumuwazia shetani mabaya inamaana wewe na shetani hamna tofauti hivyo upo upande wake...

Na ukifikilia kiundani utagundua u Mungu na ushetani unategemeana ili kuletea ukamilifu wa ulimwengu na ndio maana ili kupata kujua nguvu ya chanya ni lazima kuwe na hasi ili tupate umeme lazima hasi na chanya ziingiliane.

Tusingejua Mungu anauwezo kiasi gani kama farao asingekuwa na Moyo mgumu.
 
Kwani Yesu mwenyewe anasema je?

Mathayo 5:43-48 TKU
[43] Mmesikia ilisemwa kuwa, ‘Wapende rafiki zako na wachukie adui zako.’ [44] Lakini ninawaambia wapendeni adui zenu na waombeeni wale wanaowatendea vibaya. [45] Mkifanya hivi mtakuwa watoto halisi walio kama Baba yenu wa mbinguni. Yeye huwaangazia jua watu wote, bila kujali ikiwa ni wema au wabaya. Huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki. [46] Ikiwa mnawapenda wale wanaowapenda ninyi, kwa nini mpate thawabu toka kwa Mungu? Hata watoza ushuru hufanya hivyo. [47] Na ikiwa mnakuwa wema kwa rafiki zenu tu, ninyi si bora kuliko wengine. Hata watu wasiomjua Mungu ni wakarimu kwa rafiki zao pia. [48] Ninalosema ni kuwa, mkue hata kufikia upendo kamili alionao baba yenu wa Mbinguni kwa watu wote.
 
Religion is the result of human weakness. Binadamu ni mdogo mno mbele ya shetani, kumbuka shetani ni roho, anaona pande zote, binadamu unaona upande mmoja, utashindanaje na shetani? Shetani akiamua anakuuwa kama wewe unavyoua mbu. Acheni huo ujinga wa kumtukana shetani, ukichunguza kwa makini huenda huyo Mungu mwenye uwezo kagawanyika sehemu mbili "Umungu na ushetani "
 
Yaani Mungu na shetani ni sawa na chanya na hasi,

Katika chanya huku ndio kuna matendo mema(matakatifu) ukiwa mtu wa matendo mema unakua unatetema katika frikwensi za juu na itakuwa unaakisi|resonate mambo mema maishani mwako na hata ukifanya maombi unapata matokeo kwasababu umenyooka.

Katika hasi uku ndio kuna matendo ya maasi kinyume na utakatifu, ukibase upande huu unakua unatetema katika frikwensi za chini na unakua unaakisi|resonate mambo hasi/mabaya maishani mwako na hata ukifanya ibada za kigiza/kihasi zinajibu.

Bora kuwa moto au baridi kuliko kua vuguvugu... Ukiwa vuguvugu yaani katika kati ya hizi visisimushi vya nguvu inamaana unakua hauna nguvu yoyote ya kiroho. kujibiwa maombi yako ya kiroho yawe chanya/nuru ama hasi/giza inakuwa ngumu unakunakuwa unatumika kama daraja/ buffering zone/neutral point.

Sasa ukiwa unafagilia mambo chanya harafu kumbe fikra zako zina mambo hasi unakua haueleweki hauna upande wewe ni vuguvugu... Na potential yako hapa duniani inakua inatumika vibaya.

Bahati mbaya fikra ndio yenye nguvu hivyo itaamua hata matendo yako hivyo kama huato badilika mwisho wa siku utajikuta upande hasi/shetani hivyo kumuwazia shetani mabaya inamaana wewe na shetani hamna tofauti hivyo upo upande wake...

Na ukifikilia kiundani utagundua u Mungu na ushetani unategemeana ili kuletea ukamilifu wa ulimwengu na ndio maana ili kupata kujua nguvu ya chanya ni lazima kuwe na hasi ili tupate umeme lazima hasi na chanya ziingiliane.

Tusingejua Mungu anauwezo kiasi gani kama farao asingekuwa na Moyo mgumu.
Nimeipenda hii.
 
Kwani Yesu mwenyewe anasema je?

Mathayo 5:43-48 TKU
[43] Mmesikia ilisemwa kuwa, ‘Wapende rafiki zako na wachukie adui zako.’ [44] Lakini ninawaambia wapendeni adui zenu na waombeeni wale wanaowatendea vibaya. [45] Mkifanya hivi mtakuwa watoto halisi walio kama Baba yenu wa mbinguni. Yeye huwaangazia jua watu wote, bila kujali ikiwa ni wema au wabaya. Huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki. [46] Ikiwa mnawapenda wale wanaowapenda ninyi, kwa nini mpate thawabu toka kwa Mungu? Hata watoza ushuru hufanya hivyo. [47] Na ikiwa mnakuwa wema kwa rafiki zenu tu, ninyi si bora kuliko wengine. Hata watu wasiomjua Mungu ni wakarimu kwa rafiki zao pia. [48] Ninalosema ni kuwa, mkue hata kufikia upendo kamili alionao baba yenu wa Mbinguni kwa watu wote.
Fact 💯
 
Je ni ruksa kumtukana shetani kwa matusi mazito?

Nasema hivi kwa sababu jana nilipitia karibu na kijikanisa cha kilokole nikasikia waumini wakimtukana shetani kwa matusi mazito tena mengine ni ya nguoni, eti "shetani shenzi kabisa, mwizi mkubwa, ***** la mama yako, Malaya weeee, ndo maana husimamishi, ma**ko yako.......".

Hivi kweli mungu anaturuhusu kumtukana shetani kikama walivyofanya hawa walokole.
Tukumbuke tu ya kwamba hata shetani ni kumbe wa mungu.

Sijui lakini labda kweli tunaruhusiwa.....
Hilo sio kanisa ni wodi ya vichaa
 
Lakini Mikaeli, malaika mkuu, aliposhindana na Ibilisi, na kuhojiana naye kwa ajili ya mwili wa Musa, hakuthubutu kumshitaki kwa kumlaumu, bali alisema, Bwana na akukemee.

Lakini watu hawa huyatukana mambo wasiyoyajua, na mambo wayatambuayo kwa asili wajiharibu kwayo kama wanyama wasio na akili.
 
Labda walijua ni ruksa.
 
Back
Top Bottom