Hii ni kwa wanaompenda na kumcha Mungu tu

Bila sauti huu sio uzi
 
Ni kanisa Gani Hilo?

Hakuna anayeweza kufanya hayo!
 
Hivi matusi ni nini ? Sababu hapo ni maneno yanayoelezea uhalisia wa mtu na hayo mengine ni viungo tu.., labda ungeuliza kama Shetani ametengenezwa na Mungu kwahio kumtukana Mama wa Shetani arguably unaweza kusema unamtukana Mungu...

Anyway majibu yako sababu ni ya kiimani basi jaribu kutafuta jibu kwenye Biblia; Ila sisi wa kitaa matusi ya aina yoyote ni anti social behaviour na kero kwa wengine hivyo hao wapuuzi fikisha malalamiko kwenye vyombo vya sheria.
 
Nitafanya hivyo
 
Maombi yetu yote yanapitia katika jina la yesu, sasa yatapataje baraka yakiwa yamejaa matusi!
Wanadhani kuwa wakimtukana shetani Mungu ataona wako upande wake kwa kuamini kuwa mungu anahitaji Msaada wao ili kumshinda shetani. Wameshasahau kuwa Mungu amemweka shatani ili kutesti imani yao.
 
Ukitaka kumtukana shetani mrushie haya:
Kwa Jina la Yesu shindwa....,
Toka kwa Jina la Yesu...,
Damu ya Yesu...,
Yesu alikufanya nini pale Kalvari, toka...,!
 
Ukitaka kumtukana shetani mrushie haya:
Kwa Jina la Yesu shindwa....,
Toka kwa Jina la Yesu...,
Damu ya Yesu...,
Yesu alikufanya nini pale Kalvari, toka...,!
Kweli kabisa mkuu, mpaka sasa nashindwa kuelewa ni kwa nini wale jamaa waliporomosha matusi kiasi kile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…