Hii ni kwa wanawake mnaotumia ujauzito kama fashion

niwawaza sana nkipata kitumbo na mimi ntajipost [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Sio tumbo tu inabidi na huku juu kifuani ukuache wazi au unakuwa uchi umesimama na tumbo lako ndo picha inakuwa natural zaidi tunaona uhalisia wa mama wa ki Africa
Nimesomea graphics and pictures mkuu lazima utapendeza
 
Mkuu wewe unaathirika mini wakionyesha vitovu vyao?
Nipe hasara upatayo bosi uonapo mjamzito na kitumbo ndiiiii,,,
Wacha tule raha ya macho kuona maisha yaendelee
 
Yani kizazi cha leo hichi kina lahana wamevaa vimini adi mda mwingine nusu uchi sasa hivi wameamua waweke mitumbo yao wazi na ndio maana mashoga wamekuwa wengi sana siku hizi eti wanasema mambo ya kisasa na itafika wakati watakuwa wanatembea uchiiiii kabisaaaa
 
Strongly agree
 
Sio tumbo tu inabidi na huku juu kifuani ukuache wazi au unakuwa uchi umesimama na tumbo lako ndo picha inakuwa natural zaidi tunaona uhalisia wa mama wa ki Africa
Nimesomea graphics and pictures mkuu lazima utapendeza
🤦‍♀️ watu wa graphic hawa
 
kila mtu afanye anachopenda, mimba inatafutwa kwa tabu wengine kupata si leo , acha mtu apige picha anavyojiskia kama akipost public anapata amani au kwake haina shida mwache, kila mtu ana life style yake bhn si kila kitu mnaleta tamaduni za kiafrika basi hata kutumia smart phones cyo tamadun zetu kooooo embu tupunzishe
 
Uungu upi unaouzungumzia hapa?
 
Watafanyaje sasa wakati akili zao zote wamezikabidhi kwenye mitandao ya kijamii, wamebaki na akili kisoda za kuvukia barabara. mwisho wa siku wanaishi kama mateka wa trend za mitandaoni.

Sio wote lakini. Wapo dada/mama zetu ambao bado wanajielewa.
 
Watafanyaje sasa wakati akili zao zote wamezikabidhi kwenye mitandao ya kijamii, wamebaki na akili kisoda za kuvukia barabara. mwisho wa siku wanaishi kama mateka wa trend za mitandaoni.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu kamaliza
 
Aaah wasamehe sometimes tunaweza waita special group (samahani) maana mambo yao mengi unajiuliza unakosa majibu
 
Mnapendeza Sana. Sasa mkuu siungetutumia nyengine amekiachia hicho kinguo au amekitoa kabisa huoni kama wengine tuna matatizo ya kuona tutajuaje kama ana mimba kweli
Yes tunakua nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…