Umekuwa ukijiuliza maswali mengi sana juu ya kumiliki kampuni yako bila majibu!! Umekuwa ukijiuliza maswali kama;
Kwa mjibu wa kifungu namba 194 (1) sheria ya makampuni ya mwaka 2002 kila mtu mwenye umri kuanzia 21 na isiyozidi 70 anaouwezo wa kuwa CEO wa kampuni yake mwenyewe.
Kuna faida nyingi kufanya biashara chini ya mwamvuli wa kampuni iliyosajiliwa na kupata vibali vyote vya kazi unazozifanya, faida hizo ni pamoja na;
INCORPORATION (USAJIRI)
Katika hatua hii utatakiwa kuwa na documents zifuatazo.
Kuhusu leseni ya biashara itategemea ni aina gani ya biashara kampuni yako inaratajia kufanya. Mfano kwa Leseni zinazo tolewa na manispaa zinapatika online kupitia system yao itwayo TAUSI (https://tausi.tamisemi.go.tz). Katika hatua hakikisha documents hizi uko nazo.
By the way………. Ni kama bahati kwako……….
Kwa Mara ya Kwanza na ya Mwisho... Utaweza Kupata usajiri wa kampuni yako Kwa EXCLUSIVE OFA ya Tshs 499,990 Tu
"Ndio ni Tshs 499,990 Tu"…”Badala ya Tshs 1,000,000”…”Na utakuwa umeokoa Tshs 500,010…”
Najua Utajiuliza inawezekanaje nimetoa OFA Kubwa Kiasi Hiki?....
Ukweli ni Kwamba nimetoa OFA Hii KWASABABU Kubwa Mbili...
- Ni mtaji kiasi gani natakiwa kuwa nao ili nimiliki kampuni yangu?
- Ni elimu ya kiwango gani niwe nayo ili niwe na kampuni yangu?
- Taasisi gani natakiwa kwenda ili kukamirisha usajiri wa kampuni yangu?
Kwa mjibu wa kifungu namba 194 (1) sheria ya makampuni ya mwaka 2002 kila mtu mwenye umri kuanzia 21 na isiyozidi 70 anaouwezo wa kuwa CEO wa kampuni yake mwenyewe.
Kuna faida nyingi kufanya biashara chini ya mwamvuli wa kampuni iliyosajiliwa na kupata vibali vyote vya kazi unazozifanya, faida hizo ni pamoja na;
- Kuaminika na wadau wote wanaofanya kazi na wewe na wale wanaotarajiwa kufanya kazi na wewe siku za usoni
- Unaweza kupata mikopo kutoka kwenye taasisi mbalimbali pitia jina la kampuni yako
- Unaweza kuuza hisa kwa shareholders wapya na kupanua wigo wa mtaji wa kampuni
- Ni rahisi kufanya kazi mbalimbali na taasisi za serikali pitia kampuni yako
- Ni rahisi kushirikishwa kwenye deals na marafiki zako wa karibu kwasababu watakuona ni mtu mwenye utayari na mwenye nia ya mafanikio
- Ni rahisi kufanya usimamizi (compliance issues) za kampuni kuliko mtu anaefanya biashara kama mtu binafsi (Sole proprietor)
- Kwa mjibu wa Sheria za makampuni ya mwaka 2002, lazima kampuni iwe na walau wakurugenzi kuanzia wawili na kuendelea.
- Kila mkurugenzi mtarajiwa lazima awe na kitamburisho cha uraia (NIDA) pamoja na TIN na kama siyo Mtanzania basi awe na passport ya kusafiria.
- Utafungua account kwenye system ya Brela (Online Registration System-ORS) kupitia BRELA ORS
INCORPORATION (USAJIRI)
- Hakikisha unapendekeza jina ambao ulipendalo, lakini zingatia hilo jina unalopendekeza lisiwe limeisha tumiwa na mtu mwingine kwenye system ya Brela.
- Memorandum and articles of Association ya kampuni uliyopendekeza
- NIDA (Kwa kila mkurugenzi mtarajiwa)
- TIN (Kwa kila mkugenzi mtarajiwa)
- Barua pepe, namba ya simu, anwani ya kudumu (Kwa kila mkurugenzi mtarajiwa)
- Hati ya kusafiria (Mkurugenzi asiye mtanzania)
Katika hatua hii utatakiwa kuwa na documents zifuatazo.
- Mkataba wa ofisi uliofanyiwa makadirio na TRA
- Barua ya serikali za mitaa
- Passport size mbili za wakurugenzi
- Hati ya usajiri wa kampuni kutoka Brela (Certificate of incorporation)
Kuhusu leseni ya biashara itategemea ni aina gani ya biashara kampuni yako inaratajia kufanya. Mfano kwa Leseni zinazo tolewa na manispaa zinapatika online kupitia system yao itwayo TAUSI (https://tausi.tamisemi.go.tz). Katika hatua hakikisha documents hizi uko nazo.
- Tax clearance
- Memorandum and articles of Association
- Mkataba wa ofisi uliofanyiwa makadirio na TRA
- Hati ya usajiri wa kampuni kutoka Brela (Certificate of incorporation)
- Cheti cha kuzaliwa (mmoja wapo wa wakurugenzi)
By the way………. Ni kama bahati kwako……….
Kwa Mara ya Kwanza na ya Mwisho... Utaweza Kupata usajiri wa kampuni yako Kwa EXCLUSIVE OFA ya Tshs 499,990 Tu
"Ndio ni Tshs 499,990 Tu"…”Badala ya Tshs 1,000,000”…”Na utakuwa umeokoa Tshs 500,010…”
Najua Utajiuliza inawezekanaje nimetoa OFA Kubwa Kiasi Hiki?....
Ukweli ni Kwamba nimetoa OFA Hii KWASABABU Kubwa Mbili...
- Kwasababu ndo tunauanza mwaka mpya 2025…Hivyo ni special offer kwa watafutaji
- Kwasababu hii huduma huenda usiione tena sokoni kuanzia March 2025…Kwasababu ndo mwezi tutakuwa tumeanza kazi za audit za wateja wetu.
- Utapata ushauri wa kodi BURE kwa kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo.
- Tutakusaidia kufile Brela return BURE ya kampuni yako kwa mwaka wa kwanza
- Utapewa mafunzo BURE ya namna ya kusimamia mambo yote ya kodi kwenye system ya TRA (Taxpayer Portal)