Hii ni kweli kuhusu Majini?

Pesa sio shetani bali shetani wewe mtumiaji wa pesa,pesa sio kiumbe.
Kipindi wewe unanunua malaya ukamzini kwa hiyo pesa mwingine ananunua chakula akawalishe masikini kwa hiyohiyo pesa.
Mkuu samahani nina swali...kuna wale sijui ndio waganga hata sielewi hasa wadada,unamkuta mdada anapandisha jini halafu anamwambia mtu matatizo yake yote na anampa na dawa kabisa,kuna mtu aliambiwa mambo yake yote na akatapishwa vitu alivyolishwa. Sasa huyu anayefanya hivi kutibu watu hadi apandishe jini anachofanya ni halali?
 
Oohh hapo nimekuelewa sasa.
Kwahiyo pesa za majini ukakwichia ukapigwa na kitu kizito.!!
Pole sana aiseee.!!
Si ungerudi kuwaomba msamaha uchukue tena pesa.!!?
 
Wenzetu mnayajua sana Majini na mnayatetea kwa nguvu zote.
Hivi unakataaje kushirikiana na kaka yako wa Kijini.
Mtume kasema Majini ni kaka zenu.
Sasa mbona mna wanyanyapaa tena.
😹😹😹 Eti kaka zao khaaaa!!
 
Haitakiwi,kitendo tu cha mtu kusema ana majini kichwani hilo ni tatizo.
Na mtu anayejifanya anapandisha marohani ili kutibu watu ni ushirikina.
Haliruhusiwi katika uislam.
 
Oohh hapo nimekuelewa sasa.
Kwahiyo pesa za majini ukakwichia ukapigwa na kitu kizito.!!
Pole sana aiseee.!!
Si ungerudi kuwaomba msamaha uchukue tena pesa.!!?
Hawaombeki msamaha wale dadaangu.
Yani wale zingua nikuzingue baaas.
That's true story of me sio utani wala abunuasi.
 
Hawaombeki msamaha wale dadaangu.
Yani wale zingua nikuzingue baaas.
That's true story of me sio utani wala abunuasi.
🀣🀣🀣 Pole aiseee.!!
Hamia kwa majini wengine bana wenye masharti nafuu
 
Aaaaaagh weee nani kasema.
Tunamuomba Allah akitujaalia sawa asipotujaalia alhamdulillah.
Nipeleke na mimi nikachukue pesa hizo.
Masharti kwa mwanamke yakoje? 😹😹
 
ASHIKWA MGUU NA JINI KWENYE PANGO MWENZAKE AMSOMEA DUA YA KUMUUNGUZA JINI. ANGALIAA MKONO WAJINI HUO

Your browser is not able to display this video.
 
😹😹😹 Mimi chokambaya apeche alolo namfikia wapi da pipi mimi??
Yule anamiliki millions tupu
Kama uko serious niku PM number uende mwenyewe kuna mtu atakupokea.
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”Ila kitakalokukuta usinifate JF.
 
jana nilikuwa napita sehemu nimemkuta jamaa kapandisha jini na hajiwezi nikajisemea kumoyo kama hawa washikaji wapo basi kum............
 
Huyu jamaa aliyeandika huu uzi hana uelewa kuhusu majini. Ameandika juu kwa juu kwa kusikiliza stori za vijiweni.

Hana elimu ya majini huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…