Hii ni kweli kuhusu Majini?

Hii ya majini kuandika ripoti kuandika watu wangapi wamewavuna kwa kuwabadilisha naifananisha na maimamu kushinda mitaani kutafuta watu wa kutaka kuwabadilisha dini, ukiwapinga na kuwapa somo la dini wanakasirika na kukuona wewe ni shetani. Je, wale maimamu ni majini?
 
Kwa mujibu wa imani yetu shetani ni kiumbe yeyote ambaye ana matendo maovu,hususan jini.
Hivyo hata wewe ukiwa na matendo maovu ni sawa na shetani,shetani ni sifa.
Ukiwa muovu kupindukia umevaa sifa ya ushetani.
Yani watu wana mitabia yao michafu wanasingizia majini.!!
Eti waomba tigo wote ni majini yanawapelekesha sio wao 😹😹😹
 
Kwahiyo mwislamu kutumia majini ni mwiko sio?,na hao mashehe wanaoyatumia wanatoka nje ya mstari sio?
 
Kwahiyo mwislamu kutumia majini ni mwiko sio?,na hao mashehe wanaoyatumia wanatoka nje ya mstari sio?
Ndio wanaoyatumia wanatoka nje ya mstari,tena ni aina ya ushirikina wa wazi wazi.
Mtume mwenyewe hakuwahi kutumia majini wewe mfuasi wake utumie ili iweje!?
 
Yani watu wana mitabia yao michafu wanasingizia majini.!!
Eti waomba tigo wote ni majini yanawapelekesha sio wao 😹😹😹
Tamaa zao wenyewe wasingizie majini.
Kwanza majini hakuna kitu wanachukia kama mapenzi kinyume na maumbile.
 
Labella anapenda sana hizo Mada
Kwanini unasema hivyo mkuu!?
Anayependa hizo mada bimaana anapenda kufanya ama anapenda hiko kitu.
Saikolojia inasema ukimwona mtu anapenda sana kuzungumzia jambo fulani jua ana mahaba nalo.
 
Nimeona bwana!
Wanasema dili na hoja na si mleta hoja ila kwa hoja hii mleta hoja amezingua.
Nimecheka alivyosema majini yanaomba nonino eti sio binadamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dr anawatetea wazinzi naye atakuwa miongoni mwao sio bure.!!
 
Kwanini unasema hivyo mkuu!?
Anayependa hizo mada bimaana anapenda kufanya ama anapenda hiko kitu.
Saikolojia inasema ukimwona mtu anapenda sana kuzungumzia jambo fulani jua ana mahaba nalo.
Achana naye huyo, hao ndio majini anayosema dr 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…