Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,759
😹😹😹 Mimi nimeokoka nampenda YesuSema tuna roho za tamaa! Wewe unajitoa😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😹😹😹 Mimi nimeokoka nampenda YesuSema tuna roho za tamaa! Wewe unajitoa😂
Aiseee 😂😂😂😂 hii JF inakutoa stress bila kutaka!😹😹😹 Hawajachosha mbona hawalalamiki wakibakwa, wamebakwa na majini??
Waliookoka wanajitaja!?😹😹😹 Mimi nimeokoka nampenda Yesu
Wamepotea,,,,,,jina tu linasema wa wapi na wanapenda kukaa wapi,,,,moto utaishi vipi kwenye majiNa wale wanao sema majini yameubwa kwa moto nao vipi?
Embu tuonyeshe ulivyo okoka!😹😹😹 Mimi nimeokoka nampenda Yesu
Kubakwa mada pana hiyoo🤔🤔🤔😹😹😹 Hawajachosha mbona hawalalamiki wakibakwa, wamebakwa na majini??
Tena na POPOBAWA na wametulia tuli hawalalamiki 😹😹😹Kubakwa mada pana hiyoo🤔🤔🤔
Mimi natenda mema namsingizia Yesu, mojawapo ni kutenda matendo ya huruma ðŸ«Embu tuonyeshe ulivyo okoka!
Wanalalamikaga mbona!?Tena na POPOBAWA na wametulia tuli hawalalamiki 😹😹😹
Sio wewe mwenyewe kiongozi? 😹😹😹Wanalalamikaga mbona!?
Mie nishalalamikiwa sana 😂😂😂😂.
Hao POPOWING wanakua wakutumwa.
Iba mke wa mpemba halafu uone kazi.
Hamna mie sio mpemba ila nilifatwa na watu ambao walifanyiwa hivyo,tena marafiki zangu wa karibu,ila hiyo ilikua Tanga.Sio wewe mwenyewe kiongozi? 😹😹😹
Wapemba nasikia popobawa walianzia huko kwao, na hawakuachii mpk wote wawili mkojoe 😂😂😂
Sasa huo moto hauzimiki wanapoingia kwenye maji huko baharini? Hivi hiyo ya kuumbwa kwa moto mmeitoa wapi nyie?Yameubwa kwa moto lakini upenda maji thus baharini ndio makazi yao
Ila sijakuelewa hii kauli🤔🤔🤔🤔.Sio wewe mwenyewe kiongozi? 😹😹😹
Wapemba nasikia popobawa walianzia huko kwao, na hawakuachii mpk wote wawili mkojoe 😂😂😂
Sijaeelewa hapanamsingizia
😹😹😹 Kwenu wapi huko mlikopikwa mkapikika??Hamna mie sio mpemba ila nilifatwa na watu ambao walifanyiwa hivyo,tena marafiki zangu wa karibu,ila hiyo ilikua Tanga.
Weeeeh sisi tumepikwa😎😎😎😎 hatugusiki.
Nilijua wewe ni muhanga 😹Ila sijakuelewa hii kauli🤔🤔🤔🤔.
Au madam umemaanisha Mie ndio nilikua faza POPOWING!?
Si nasaidia wahitaji ambao hawajiwezi kimavazi na chakula, wakinishukuru nawaambia sio mimi niYesu kanituma niwatendee haya.!!Sijaeelewa hapa
Hamna wale huwa wanakujia katika njonzi ama ndoto.😹😹😹 Kwenu wapi huko mlikopikwa mkapikika??
Hao marafiki zako majasiri sana.!!
Wanapitiwa na popobawa na wamekusimulia??
Walikwambia mkao waliowekwa??