Hii ni kweli kuhusu Majini?

Si nasaidia wahitaji ambao hawajiwezi kimavazi na chakula, wakinishukuru nawaambia sio mimi niYesu kanituma niwatendee haya.!!
Hapo umeelewa?? Au nishike fimbo 😹😹😹
Ndio useme kumsingizia kweli!
Au uelewa wangu wa kiswahili mdogo ujaribu fimbo 😂

Halafu nataka niwe kama wewe nifanye je?
 
😹😹😹 Wanaacha na ushahidi??
Hao hawafai kumbe.!!
Basi hiyo sio ndoto km ina ushahidi
 
😹😹😹 Wanaacha na ushahidi??
Hao hawafai kumbe.!!
Basi hiyo sio ndoto km ina ushahidi
Wewe unaota ila wao ndio wanafanya.
Yani wanakujia kwa njonzi.
Hata wengine ambao ni wasafi wanakujia kwa njozi,kukujia kwa sura kamili eidha ni wabaya wanaotaka kukudhuru kwa kukuua ama wale walotulia kama ukiwaita.
Ila ujikaze unaweza kujinyea kwa suruali🙄🙄🙄🙄
 
Ndio useme kumsingizia kweli!
Au uelewa wangu wa kiswahili mdogo ujaribu fimbo 😂

Halafu nataka niwe kama wewe nifanye je?
Hapa nitumie fimbo kichwa chako kigumu 😹😹😹
Yesu alipokuwa anawatendea mema si alikuwa anamsingizia Mungu.
Nayatenda haya sababu Baba yangu kanituma kwenu niwahubirie habari njema”

Si umeona hapo Yesu anakataa sio yeye ila ametumwa na Mungu.
Unataka kuwa km mimi kivipi kaka??
 
Hivi uzi wa milioni 15 umepotelea wapi🤔🤔?
Nimeusaka siuoni.
 
Hawa jamaa unawajua vizuri kiongozi 😹😹😹
Mbona nikiota nimeokota pesa sizikuti??
Ila hao popobawa unakuta ushahidi, hebu dadavua vizuri.
 
Hawa jamaa unawajua vizuri kiongozi 😹😹😹
Mbona nikiota nimeokota pesa sizikuti??
Ila hao popobawa unakuta ushahidi, hebu dadavua vizuri.
Kuna ndoto za kawaida na kuna ndoto za kirohani.
Wewe unaota ndoto za kawaida ila ndoto za kirohani zina utofauti.
Mara nyingi ukiota ndoto unahisi nusu umelala nusu kama umeamka hiyo ni ndoto ya kirohani,na huwa ina maana yake.
Kama sio kuwa na impact ya papo kwa papo basi ni kitu ambacho kitakuja kutokea.
 
Mhmm.!! Basi inatisha hiyo
.
 
Lugha rahisi ni kumshuhudia na si kumsingizia, naomba kukosolewa lakini.
Kiswahili kipana bana, kumshuhudia wengine watasema kuona.
Mfano;
“Nilimshuhudia kwa macho yangu G akiiba”
Kiswahili kina visawe vingi
 
😂😂Usije ukaanza kulala na Bible.
Kijiko kimeanguka tu jikoni ukaanza kukemea pepo.
Hapa nilipo nipo peke yangu na siogopi 😹😹😹
Kuna siku nilikuwa Kigoma sasa tukiwa kwenye maombi ghafla akatokea mtu hatujui kaingilia wapi?? Tukaanza kukemea “Kwa jina la Yesu toka”
Nalo si likajibu “Kwa jina la Yesu na nyie tokeni”
Nilitoka nduki sitaki kubishana na wenye mji wao mie 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…