Aaaagh waaapiii😎😎😎😎.Nilijua wewe ni muhanga 😹
Popobawa mdudu mdogo sana watu tunacheza na kina raqiibin atyyd.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaagh waaapiii😎😎😎😎.Nilijua wewe ni muhanga 😹
Ndio useme kumsingizia kweli!Si nasaidia wahitaji ambao hawajiwezi kimavazi na chakula, wakinishukuru nawaambia sio mimi niYesu kanituma niwatendee haya.!!
Hapo umeelewa?? Au nishike fimbo 😹😹😹
😹😹😹 Wanaacha na ushahidi??Hamna wale huwa wanakujia katika njonzi ama ndoto.
Yani kama unavyo experience wet dreams.
Unaota mtu anakuingilia ukishtuka una uteute kiunoni ama mwanzo wa mgongo na kiuno.
Ama kalio limeloa.
Kuna maeneo Aisee hususan ukanda wa bahari ukitembea kuna kujaribiana sana.
Wewe unaota ila wao ndio wanafanya.😹😹😹 Wanaacha na ushahidi??
Hao hawafai kumbe.!!
Basi hiyo sio ndoto km ina ushahidi
Hapa nitumie fimbo kichwa chako kigumu 😹😹😹Ndio useme kumsingizia kweli!
Au uelewa wangu wa kiswahili mdogo ujaribu fimbo 😂
Halafu nataka niwe kama wewe nifanye je?
Wale ni roho na sio mwiliSasa huo moto hauzimiki wanapoingia kwenye maji huko baharini? Hivi hiyo ya kuumbwa kwa moto mmeitoa wapi nyie?
Hivi uzi wa milioni 15 umepotelea wapi🤔🤔?Hapa nitumie fimbo kichwa chako kigumu 😹😹😹
Yesu alipokuwa anawatendea mema si alikuwa anamsingizia Mungu.
“Nayatenda haya sababu Baba yangu kanituma kwenu niwahubirie habari njema”
Si umeona hapo Yesu anakataa sio yeye ila ametumwa na Mungu.
Unataka kuwa km mimi kivipi kaka??
Hawa jamaa unawajua vizuri kiongozi 😹😹😹Wewe unaota ila wao ndio wanafanya.
Yani wanakujia kwa njonzi.
Hata wengine ambao ni wasafi wanakujia kwa njozi,kukujia kwa sura kamili eidha ni wabaya wanaotaka kukudhuru kwa kukuua ama wale walotulia kama ukiwaita.
Ila ujikaze unaweza kujinyea kwa suruali🙄🙄🙄🙄
Mods walipita nao 😹😹😹Hivi uzi wa milioni 15 umepotelea wapi🤔🤔?
Nimeusaka siuoni.
Kuna ndoto za kawaida na kuna ndoto za kirohani.Hawa jamaa unawajua vizuri kiongozi 😹😹😹
Mbona nikiota nimeokota pesa sizikuti??
Ila hao popobawa unakuta ushahidi, hebu dadavua vizuri.
Aaaagh basi ile ni kweli biashara.😂😂😂Mods walipita nao 😹😹😹
.Kuna ndoto za kawaida na kuna ndoto za kirohani.
Wewe unaota ndoto za kawaida ila ndoto za kirohani zina utofauti.
Mara nyingi ukiota ndoto unahisi nusu umelala nusu kama umeamka hiyo ni ndoto ya kirohani,na huwa ina maana yake.
Kama sio kuwa na impact ya papo kwa papo basi ni kitu ambacho kitakuja kutokea.
Kuokoka kwa namna yako, ndio aina ya wokovu ninautamani na sio ule wa kusifu na kuabudu kutoa na kutolewa mapepo.Unataka kuwa km mimi kivipi kaka??
😹😹😹 hatareeeAaaagh basi ile ni kweli biashara.😂😂😂
Lugha rahisi ni kumshuhudia na si kumsingizia, naomba kukosolewa lakini.Yesu alipokuwa anawatendea mema si alikuwa anamsingizia Mungu.
“
Karibu sana, hiyo ndio ibada aliyohubiri Yesu.Kuokoka kwa namna yako, ndio aina ya wokovu ninautamani na sio ule wa kusifu na kuabudu kutoa na kutolewa mapepo.
Nianzie wapi kwa hioKaribu sana, hiyo ndio ibada aliyohubiri Yesu.
Kujitoa kwa wengine na kuwaonyesha UPENDO
😂😂Usije ukaanza kulala na Bible.Mhmm.!! Basi inatisha hiyo
.
Kiswahili kipana bana, kumshuhudia wengine watasema kuona.Lugha rahisi ni kumshuhudia na si kumsingizia, naomba kukosolewa lakini.
Hapa nilipo nipo peke yangu na siogopi 😹😹😹😂😂Usije ukaanza kulala na Bible.
Kijiko kimeanguka tu jikoni ukaanza kukemea pepo.