Nipe intro kabla hujairusha kaka πΉπΉπΉHamna haitishi ila ungekiona kilicholeta hiyo athari ndio kinatisha.
Uliwahi kukaa na Wapemba ama wazanzibari!?Nipe intro kabla hujairusha kaka πΉπΉπΉ
Zamani sana nikiwa mdogo walipanga homeUliwahi kukaa na Wapemba ama wazanzibari!?
Ah nazungumzia kiutafutaji.Zamani sana nikiwa mdogo walipanga home
Hivi kuna pesa za majini??Ah nazungumzia kiutafutaji.
Wale jamaa pesa zao sio za bure bure.Yani kuwakuta leo wana pesa kesho hawana sio jambo la kawaida dada.
Pesa zao za majini wale.
ππππππAcha zako wewe.Hivi kuna pesa za majini??
Mbona wale waliokuwa wanakaa kwetu walikuwa na maduka kkoo na Manzese na sijawahi kuona pesa za majini??
πΉπΉπΉπΉ hakuna pesa za majini banaππππππAcha zako wewe.
Kwani wewe utajua kama ni za majini au laah!?
Umewahi kuona mpemba anafunga duka hovyo kisa limefirisika!?
Huwezi kujua kwani zinajionesha!?
Mie ndugu zangu wale nawajua,ila kuna ndugu yangu mmoja huyo yuko Pemba Mkoani hamu naye sina mpaka leo hii.
Kama unajuana na shehe wa kipemba muulize KHADIM ni nani.πΉπΉπΉπΉ hakuna pesa za majini bana
Hata wanaoenda kwa waganga kutaka utajiri waulize km wanapewa pesa??
Umeanza ngano za kale πΉπΉπΉKama unajuana na shehe wa kipemba muulize KHADIM ni nani.
Muulize hivyo tu.
Kuna kwenda kwa mganga na kuna kumtumikisha jini directly.
Ila masharti yao unayaweza!?
Mie niliyashindwa.
Usituongopee,Ndio wanaoyatumia wanatoka nje ya mstari,tena ni aina ya ushirikina wa wazi wazi.
Mtume mwenyewe hakuwahi kutumia majini wewe mfuasi wake utumie ili iweje!?
Mambo kipenzi?Umeanza ngano za kale πΉπΉπΉ
ππππMadam sema sikujui lau ningekua nakujua ningekulipia boti mpaka nilipoenda.Umeanza ngano za kale πΉπΉπΉ
We jamaa mbona huwa unapenda sana kuropoka!?Usituongopee,
Mtume alikuwa anakutana na Majini na kuwafundisha Qurani na kuyasilimisha kuwa Maislamu.
Na aka waambia Majini ni ndugu zenu.
Sasa Mwislamu mwenzako wa Kijini unamkatazaje kuabudu pamoja naye
Tunapo sema kuwa, Uislamu ni Dini ya Majini mna kanushaje?
Na wewe ulichukua pesa zao??ππππMadam sema sikujui lau ningekua nakujua ningekulipia boti mpaka nilipoenda.
We unaona kama stori za abunuasi.
Masharti ya pesa zao wale mabwana ni kama ifuatavyo;
-Usitembee na mwanamke zaidi ya mke wako.
-Usilewee pesa zao.
-Usimpe mtu wa hovyo au kuhonga pesa zao hata kama hao wanawake hao haulali nao.
Fanya hivyo,kila kitu ulichojenga kwa pesa zao kinaondoka na unakua na mkosi ambao hukuwahi kupata mpaka uje ukae sawa ni muda sana.
YAMENIKUTA DADA mpaka nakuja kukaa sawa nimeshatambika sana milima ya Usambara mbele ya misitu ya Amani.
Ishu sio kuyajua majini bali ishu ni kuyatumia.Kama Kuna imamu au Shehe wa Kiislamu na hayajui Majini, huyo hafai kuwa Mwislamu.
Nabii Suleimani wenu alifanya kazi na Majini.
Nabii wenu alihutubia Majini na kuyasilimisha ili wawe Waislamu.