Hii ni kweli kuhusu Majini?

Hii ni kweli kuhusu Majini?

Zamani sana nikiwa mdogo walipanga home
Ah nazungumzia kiutafutaji.
Wale jamaa pesa zao sio za bure bure.Yani kuwakuta leo wana pesa kesho hawana sio jambo la kawaida dada.
Pesa zao za majini wale.
 
Hivi kuna pesa za majini??
Mbona wale waliokuwa wanakaa kwetu walikuwa na maduka kkoo na Manzese na sijawahi kuona pesa za majini??
 
😂😂😂😂😂😂Acha zako wewe.
Kwani wewe utajua kama ni za majini au laah!?
Umewahi kuona mpemba anafunga duka hovyo kisa limefirisika!?
Huwezi kujua kwani zinajionesha!?
Mie ndugu zangu wale nawajua,ila kuna ndugu yangu mmoja huyo yuko Pemba Mkoani hamu naye sina mpaka leo hii.
 
😹😹😹😹 hakuna pesa za majini bana
Hata wanaoenda kwa waganga kutaka utajiri waulize km wanapewa pesa??
 
Kama unajuana na shehe wa kipemba muulize KHADIM ni nani.
Muulize hivyo tu.
Kuna kwenda kwa mganga na kuna kumtumikisha jini directly.
Ila masharti yao unayaweza!?
Mie niliyashindwa.
 
Umeanza ngano za kale 😹😹😹
 
Ndio wanaoyatumia wanatoka nje ya mstari,tena ni aina ya ushirikina wa wazi wazi.
Mtume mwenyewe hakuwahi kutumia majini wewe mfuasi wake utumie ili iweje!?
Usituongopee,
Mtume alikuwa anakutana na Majini na kuwafundisha Qurani na kuyasilimisha kuwa Maislamu.
Na aka waambia Majini ni ndugu zenu.
Sasa Mwislamu mwenzako wa Kijini unamkatazaje kuabudu pamoja naye
Tunapo sema kuwa, Uislamu ni Dini ya Majini mna kanushaje?
 
Umeanza ngano za kale 😹😹😹
😂😂😂😂Madam sema sikujui lau ningekua nakujua ningekulipia boti mpaka nilipoenda.
We unaona kama stori za abunuasi.
Masharti ya pesa zao wale mabwana ni kama ifuatavyo;
-Usitembee na mwanamke zaidi ya mke wako.
-Usilewee pesa zao.
-Usimpe mtu wa hovyo au kuhonga pesa zao hata kama hao wanawake hao haulali nao.
Fanya hivyo,kila kitu ulichojenga kwa pesa zao kinaondoka na unakua na mkosi ambao hukuwahi kupata mpaka uje ukae sawa ni muda sana.
YAMENIKUTA DADA mpaka nakuja kukaa sawa nimeshatambika sana milima ya Usambara mbele ya misitu ya Amani.
 
We jamaa mbona huwa unapenda sana kuropoka!?
Mtume aliwasilimisha majini au aliwatumia!?
Hivi huoni kuna utofauti kati ya kuwatumia na kuwasilimisha!?
Unanipa mashaka na uelewa wako.
Mtume aliwasilimisha na kuwafundisha Qur'an kesha akaambiwa awaache katika ulimwengu wao.
Maana mtume aliwafuata majini katika ulimwengu wao wala hakuwaita msikitini.
Baada ya kuwapa maandiko na mafundisho aliondoka na kuwaacha katika ulimwengu wao.
 
Kama Kuna imamu au Shehe wa Kiislamu na hayajui Majini, huyo hafai kuwa Mwislamu.
Nabii Suleimani wenu alifanya kazi na Majini.
Nabii wenu alihutubia Majini na kuyasilimisha ili wawe Waislamu.
 
😂😂😂😂Madam sema sikujui lau ningekua nakujua ningekulipia boti mpaka nilipoenda.
We unaona kama stori za abunuasi.
Masharti ya pesa zao wale mabwana ni kama ifuatavyo;
-Usitembee na mwanamke zaidi ya mke wako.
-Usilewee pesa zao.
-Usimpe mtu wa hovyo au kuhonga pesa zao hata kama hao wanawake hao haulali nao.
Fanya hivyo,kila kitu ulichojenga kwa pesa zao kinaondoka na unakua na mkosi ambao hukuwahi kupata mpaka uje ukae sawa ni muda sana.
YAMENIKUTA DADA mpaka nakuja kukaa sawa nimeshatambika sana milima ya Usambara mbele ya misitu ya Amani.
Na wewe ulichukua pesa zao??
Pole sana, ulivunja masharti gani?
 
Kama Kuna imamu au Shehe wa Kiislamu na hayajui Majini, huyo hafai kuwa Mwislamu.
Nabii Suleimani wenu alifanya kazi na Majini.
Nabii wenu alihutubia Majini na kuyasilimisha ili wawe Waislamu.
Ishu sio kuyajua majini bali ishu ni kuyatumia.
Punguza kuropoka we jamaa.
Nabii Suleyman Mungu alimpendelea kwa kumpa ufalme wa majini,upepo na wadudu na ndege.
Huo ufalme alipewa Suleyman tu.
Ila wengine hawakupewa.
Na Muhammad aliambiwa akawape mafundisho ya uislamu majini katika ulimwengu wao na awaache huko huko alikowafata wamtumikie Allah wakiwa huko.

Unaanza kuboa we jamaa.
 
Back
Top Bottom