Hii ni kweli kuhusu Majini?

Hii ni kweli kuhusu Majini?

Akuu siweki zangu kwanini niweke zangu!?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Umesikia mimi mganga!?
Sasa ntajuaje km ni namba za mganga kweli?? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Sasa ntajuaje km ni namba za mganga kweli?? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mie kijana halafu sauti yangu ya ujana.
Huyo utaeongea naye mzee sana ila sidhani kama unajiweza kufika huko.
Angekua shemeji(mumeo) ningesema yuko serious ila wewe mamaa kaa tu upike mtori tuje tule.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mie kijana halafu sauti yangu ya ujana.
Huyo utaeongea naye mzee sana ila sidhani kama unajiweza kufika huko.
Angekua shemeji(mumeo) ningesema yuko serious ila wewe mamaa kaa tu upike mtori tuje tule.
Weka namba hizo kwenye pesa hakuna mwanamke wala mwanaume ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
YAJUE MAJINI KWA UNDANI
- Neno majini linatokana na neno maji " sababu element ya majini ni maji na sio moto "

- Majini hupendelea kuishi na kukaa baharini, mtoni, ufukweni zaidi.

- Majini ni mashabiki wazuri wa michezo ya mpira, kamali n.k

- Majini yana vitengo kama zilivyo serikali zetu kuna kitengo cha kami ambacho kina kamishina wake na mshahara wake upo palepale na huandika report kila sekunde ya watu aliowavuna kwa sekunde.

- Majini kabla ya hapo walikuwa wastarabu sana ila inasemekana walianzisha upizani Kwa Mkuu wa umbaji ndipo walipigana na baadaye kuangukia duniani.

- Wengine walipoangukia duniani walianza kuzaliana na wanadamu na hadi sasa majini hutegemea sana wanawake ili kuzalisha majini wenzao na hiyo hufanya sehemu kubwa wanawake kupitia changamoto za uzazi hadi amalize kizalishwa watoto wao.

- Majini pia ni wapenzi wa kulala na wanadamu kwa ngono hasa majini ya kiume huwa warafi zaidi kwa kulala na wanawake.

- Majini ya kiume huchochea zaidi mwanaume kupenda sex mkundu vile mwanaume anasex pale ni jini ndio hufaidi zaidi hivyo hutia roho ya ujasiri mwanaume kutamani kuomba mkundu kuliko uke.

- Majini yanatabia ya uvivu sana hasa yanapokuwa matembezi yakiona yamechoka kutembea hupanda na kukaa kwenye mawingu ya nywele za wanawake hadi pale litakapo pata nguvu ya kuendelea na safari yake.

- Majini ni wapenzi wazuri wa dhahabu, vipodozi, marashi na manukato.

- Majini yapo ya aina mbili yale machafu na masafi hasa masafi huwa ni makoeofi zaidi ila machafu huwa mapole zaidi.

- Kwa kuwa majini huwa kama kivuli tu na wanadamu hawayaoni hata hapo ulipo yanapita na kuendelea na mambo yao ila majini ambayo huonekana kwa urahisi ni yale huishi choo za shule, madarasa ya shuleni na miti mirefu hao ndio huonekana kwa urahisi na ukiwaona wenda ukawa na nafasi ya kuishi duniani kwa shida sana au utapata kiwapa kikubwa zaidi

- Majini huwa na misiba pia huwa na sherehe kama wanadamu ila siku za sherehe zao kubwa ni lazima ajari itoke au kitu kibaya kifanyike.

- Maeneo kama ofisi za serikali, mahakama, migodini, bank kukosa majini bila serikali kuweka majini hayo kwenye ofisi au migodini huwa ni ngumu kupata mafanikio hivyo duniani kote serikali za dunia au watu wa migodini ni sharti kuingia mikataba ya siri na majini ili kulinda au kupata mali.

DALILI UNA MAJINI
- Unaota una sex hadi unapizi na kumwaga hilo ni jini.

- Unatabia ya kupanga na kuvuruga vitu ovyo hilo ni jini.

- Unapata hasira ghafula na baadaye unajutia kitu mwenyewe au kulia bika sababu hilo ni jini.

- Ukimchukia mtu sharti anapata matatizo hilo ni jini.

- Kifuani unahisi ni pazito sana n.k

View attachment 3042089
Sio ukweli Majini hawana element ya maji majini asili yao wameumbwa na moto sio maji hapo ninakukatalia umekopi wapi hiyo? Hapo nilipo weka mstari Mwekundu umekosea sio ukweli kabisa.
 
Ndio maana unanitaja taja ushindwe ila je mf. Kama hujaoa au kuolewa
๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”.
Tulikumiss aise ndio maana nakutaja taja.
Kuoa ama kuolewa haijalishi.
 
Nimeona niishie kujibu hapa. Neno jini katika Kiswahili limetoholewa kutoka Kiarabu. Halina uhusiano wowote na neno "maji".

Kuna uongo mwingi umeandika.
Mtu huwa akifanya kosa kama hili alilofanya mleta mada huwa nahofia uwezo wake wa ketengeneza mantiki (logic).
Huyu jamaa huwa anakusanya taarifa sahihi na uongo anachanganya, kashadanganya sana watu facebook, baadae tik tok, sasa huku nako kavamia.

Aliwahi kusema wembe kama wa topaz hata ukiwa mpya una material zinaweza kukupa ukimwi.

Upakaji wa pilipili kichaa katika uume unaongeza nguvu za kiume.

Majini yanatokana na maji, huu ni ujinga kama kusema Matende(ugonjwa) yanatokana na ulaji wa tende,kisa kuna kuendana kwa kwa baadhi ya herufi na utamkaji.

Sikatai wakati mwingine anaunga unga facts anapatia, lakini mara nyingi haendi deep na kuonyesha findings.
 
Daktar we mtu mkubwa sana hivi vitu sio wewe wa kuviongelea waachie matapeli
Yeye siku hizi mganga Tik tok, anapiga style kama za kiboko ya wachawi.

Nchi ina wajinga hii basi tu hatutaki kujinufaisha nao.

Matatizo makuu ya wajinga hao ni juu ya pesa,imani na mahusiano. Tiba wanazotaka ni ambazo haziko rational.
Kama vile ogea mavi ya punda siku ishirini na moja,kila siku weka akiba shilingi mia tano. Siku ya 21 pika biriani au nunua,kula huku ukinena maisha yangu yawe matamu daima kama biriani hili, pesa zinipate nyingi kama mchele huu ๐Ÿ˜†
 
Kwanza kwanini umeuliza kama hujaoa ama kuolewa!?
Kiufupi ina apply kwa yeyote eidha ameoa ama hajaoa.
mkuu kuna vitu nataka unieleweshe nimekucheki PM naona PM yako umeifunga_naomba unicheki ww kama hutojali
 
Back
Top Bottom