Hii ni laana gani huyu mwanamke analeta hapa nyumbani?

Ningekuwa mm ndo wewe Bro naweka mtego na ntafanya chochote wajue kama nimejua upuuzi wao , wakijua nimejua siri yao na ushahidi ninao lazima tu watafanya ninachotaka mimi , unawaita wote unat*mba wote kwa pamoj no huruma tena huyu mama jeni unakikisha unapita njia zote lazm alipie kodi yetu na uharibifu aliofanya kwenye familia yako afu then unawaambia wote ondokeni
 
Iko ivi jana new year mm nilikuwa nimeamua tuu kutulia home nikikuwaxna mawazo ya kazi zangu sikupendq niende kokote mm ni kijana nina miaka 32 sasa na nina mke na mtoto wa 5 years mtoto wetu yupo kijijin kwa bibi yake huko kitambo sasa wife jana akaniambiaa yeye anatoka na shoga yake tumuite mama jeni jina code.

Huyuu mama Jeni na mke wangu bhna ni marafiki yaaani wale wa karibu kabisa basi mimi nikamwambia niko tuu home nacheki move zangu za vita Vietnam na Marekani basi baada ya chakula cha mchana huyo kaoga kavaaa mimi nimetulia tuu kaondoka zake huko sijui ndio kwa mama Jeni au wapi sasa karudi hapaaa saa 9 usiku yuko hoii mimi nililala sana mchana nikawa niko machooo huwa najuaaa paswod.

Nikaamuaaa niiingie kwa simu yake Mungu wangu! Nimekuta videoo zaidi ya kumi wanasagana na huyooo mama Jeni yaaan live kabisaaa kumbe huyuu mwanamke ni shetani msagajii nimezituma kwa simu yangu kama ushahidi akiamka leo moja kwa mojaa kwaoo mpuuuzi ndio maana hata sex ananipangiaa yeye na mama Jeni ni wapenzi na anampenda maaan hata kuna kipindi mm nilitoa pesa amsaidiee huyoo mama jeni kodi ya nyumbaaa inauma ila sijuii nifanyajee wadau.
Hili suala usingelileta hapa,masuala yanayohusu ndoa yako usiyalete public,njoo inbox tuongee
 
Unawaita wote na kuwapiga three some
 
Chai
hakuna mke wa kurudi kwa mumewe saa Tisa usiku, kama ni hayo mambo angeweza kuyafanya we ukiwa job, kwanza reply zako tu zinaonyesha how old are you punguza kuangalia porn unaharibu kichwa kwa kucreate fantasy za kijinga
 
Back
Top Bottom