Hii ni laana gani huyu mwanamke analeta hapa nyumbani?

Tupate matangazo kidogo kwa hisani ya dronedrake

Artist : Nay wa mitego
Song : Bachela


Tunakula ujana mabachela bachela

Waache waoane

Okay lets go

Mi ni chizi wa mapenzi

Na nina upendo

Ila kuhusu ndoa ndo sina mpango

Na ukipata niliyemuacha hauzibi pengo

Ndoa lini hizo kelele za chura kwa tembo

Guys listen to me napenda kuwa free

Wengi wapo kwenye ndoa na hawatulii

Nikisema ndoa ndoa hata mnitangaze BBC

Palipo furaha nipo kama moyo wangu una WiFi

Bachela vibe ni confidence maisha ni kuchagua tumechagua hapiness

Happiest no ndoa no stress vichwa vina mambo mengi tuna-refresh

Mi na shemeji yenu daily tuna-party

Mambo ya ndoa wote hatuyataki

Purukushani unarudi saa ngapi unachati na nani ndo vitu hatutaki

Bachelaz michango tutachanga changa

Kwenye harusi tutakuja kuja

Chakula tutakula kula

Na pombe tutalewa lewa

Wenyewe si bado tupo si bado tupo

Hivi wakina nani nyie

Sisi ndo mabachela bachela

Hatutaki ndoa mabachela bachela

Tunakula ujana mabachela bachela

Waache waoane

Sing again bachelors

Sisi ndo mabachela bachela

Hatutaki ndoa mabachela bachela

Tunakula ujana mabachela bachela

Waache waoane okay
 
Ulianza vizuri sana nikajua una akili
 
na mama Jeni ni wapenzi na anampenda maaan hata kuna kipindi mm nilitoa pesa amsaidiee huyoo mama jeni kodi ya nyumbaaa inauma ila sijuii nifanyajee wadau.
Kabla hujampa repatrieshen, omba faragha na mama jeni mfundishe ndipo usambaratishe ubia
 
Unakumbuka hii

 
Mi kusagana sijapenda nijikite huko, ishu yangu ni moja, mkeo anaanzaje kurudi saa 9 usiku na wewe upo home? How come yan???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…