Hii ni mboga iliyopikwa na mke wa ndoa kwa mume wake

Hii ni mboga iliyopikwa na mke wa ndoa kwa mume wake

Sasa ameoa kwa ajili gani???

Kama ni "ung'wenyo" unapatikana mpaka buku jero....

Kama ni Watoto...masela wanao huko mitaani.....

Daah sina simile na "jiko"....
 
Hii hatari ukute na mume hajui kupika ndiyo hatari zaidi ya hatari
 
Hawa ndo wale mnakutana vyuoni hujui amelelewa vipi miezi sita ushapeleka barua mwezi wa tisa ndoa kumbe alikotoka kwao mpaka nguo za ndani alikuwa anafuliwa na house girl hata kugeuza mchicha hawezi.

Usishangae haya yapo!
 
Naendelea vema wewe je ikitokea madhara serikali haitakiwi kuishtaki [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo inaongeza nguvu za kiume. Unakuwa unatoa bao zito linalotoka mithili ya mashine ya dizeli ya kusaga inavyowaka (sio kama starter za fekon sekunde mbili tu), yaani sekunde kama 9 hivi unakojoa tu.
NB: Ninauza nyanya, dagaa kama hao na vitunguu safi kutoka Iringa na Mbeya.
Genge langu lipo Kinondoni nyuma ya mahakamani uchochoro wa kwenda Sogodo.
 
Hiyo mboga poa ikitiwa pilipili na ndimu kwa mbali na kuwekwa kwenye sahani nzuri, ikapewa na jina la dagaa mixer mchuzi tomato onion na kuwekwa pale Sea cliff kwenye menu itakuwa si chini ya buku hamsini.
 
Halafu mchepuko unakuandalia kitu kama hiki 🤣👇
20210803_140934.jpg
 
Back
Top Bottom