COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,821
Mleta mada ushahidi wa mazingira unaonesha kuwa, ulikuwa umechemsha dagaa kwa ajili ya kuwakosha ili kuondoa mchanga. Lakini kwakuwa dagaa walikuwa wa moto Sana ikawa vigumu kuwakosha na maji ya ziada kuwapooza hukuwa nayoView attachment 1880067
Kuna watu wanaishi maisha magumu duniani.
hivyo,ukaamua kumenya nyanya na kwa uvivu wa kutafuta chombo kingine uweke nyanya ukaona bora kuziweka ndani ya dagaa,huku ukimyenya Kitunguu.Mara likakuijia wazo la kuanzisha uzi Jf. Ukapiga picha dagaa wako wa maandalizi na kutuletea Uzi. Hongera! Ila wakati mwingine ukimenya nyanya usiziweke katika maji moto namna hiyo kwani,hata uzipike vipi hazita lainika na mboga yake hukosa Ladha.