Hii ni mboga iliyopikwa na mke wa ndoa kwa mume wake

Hii ni mboga iliyopikwa na mke wa ndoa kwa mume wake

View attachment 1880067
Kuna watu wanaishi maisha magumu duniani.
Mleta mada ushahidi wa mazingira unaonesha kuwa, ulikuwa umechemsha dagaa kwa ajili ya kuwakosha ili kuondoa mchanga. Lakini kwakuwa dagaa walikuwa wa moto Sana ikawa vigumu kuwakosha na maji ya ziada kuwapooza hukuwa nayo
hivyo,ukaamua kumenya nyanya na kwa uvivu wa kutafuta chombo kingine uweke nyanya ukaona bora kuziweka ndani ya dagaa,huku ukimyenya Kitunguu.Mara likakuijia wazo la kuanzisha uzi Jf. Ukapiga picha dagaa wako wa maandalizi na kutuletea Uzi. Hongera! Ila wakati mwingine ukimenya nyanya usiziweke katika maji moto namna hiyo kwani,hata uzipike vipi hazita lainika na mboga yake hukosa Ladha.
 
Yani waweza hisi naongopa, hamna kunukia, Ni kubahatisha mara chache na hapo atajisifu kweli, aisee Ni aibu wakipata wageni wanaalika majirani ili kuwapikia
Ni kweli uandikayo Noelia.Mi hushindwa kula katika migahawa mingi labda uwe wa mtu toka TANGA hapo kwakweli huwa Sina Shaka na mapishi yao Mkuu.
 
Kama Maisha Magumu Kwa Mboga Hiyo Basi Mimi Siyajui Maisha Magumu. Jaribu Kufuatilia Madagaska Ambako Mpaka Sasa Ni Miaka Minne Hawajaona Mvua
 
Ni kweli uandikayo Noelia.Mi hushindwa kula katika migahawa mingi labda uwe wa mtu toka TANGA hapo kwakweli huwa Sina Shaka na mapishi yao Mkuu.
Kujua kupika kwa mwanamke ni kitu cha msingi sana
 
Chaguo ni lako
FB_IMG_16285132219755231.jpg
 
Mikoa ya
Mara
Simiyu
Mwanza
Geita

Mapishi yao ni changamoto sana hasa kama umetoka nje ya kanda ya ziwa.
 
Back
Top Bottom