Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Very healthy diet.....Halafu ikiwa mume hajaacha hrla za mboga,matumizi ya home???View attachment 1880067
Kuna watu wanaishi maisha magumu duniani.
Hailiki Hadi uwe umepewa limbwataMboga saaaafi kabisa hiyo.
Inalika vizuri kabisa.Hailiki Hadi uwe umepewa limbwata
Naweza kukupikia mboga nzuri kuzidi hiyo kama standards zako ni za chini kiasi hichiKuna shida gani mkuu mbona iko poa tu
Hangera mkuu unaweza kunipikia mchunga na ugali wa mhogoNaweza kukupikia mboga nzuri kuzidi hiyo kama standards zako ni za chini kiasi hichi
Yea. 100/ 100Hangera mkuu unaweza kunipikia mchumba na ugali wa mhogo
Mboga saaaafi kabisa hiyo.
Asante mpendwaYea.00/ 100
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata mboga yangu inavutia machoni. Hii hata ladha yake mdomoni [emoji86][emoji86][emoji86]
Kwa ugali hiyo ina utamuuu wa Pekee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chukuchuku hiyo, haina mbwembwe.