Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Sasa "alichafuliwa" kwa namna gani??mkuu ka ulisoma vizuri naamini ungekuwa umenielewa,nirudie tena nae alikuwa na kasoro zake na ni ka hayo aliyowafanyia ndugu zake wa nyumbani, na hilo ni kosa ambalo lipo kwa watawala wetu karibu wote. natumai hapo umenielewa baada ya ufafanuzi huo kwa uchache
Amini ni mwanangu sana japo alizingua kuua ndugu zake ila alichofanyia wale weupe ni sawa tuuSasa "alichafuliwa" kwa namna gani??
Alisemewa nini kisicho kweli? Na nani??
Kumbe wengine hapa wanapenda kujadili "wazungu waliomchafua".
Kwa hiyo Waganda waliosema huyu alikuwa mhuni, mjinga, mnyama kwa uso wa kibinadamu, muuaji, mbakaji, mporaji, mharibifu wa nchi yao - hawastahili kusikiwa? (tena wale waliomkosoa wakati Waingereza bado walimbebeleza?)
Jamani, roho ya kitoto gani hapa? Je hao "Wazungu" ni muhimu zaidi kuliko wahanga wake?
Samahani, sikuelewi. Unataka kulinganisha nini?Amini ni mwanangu sana japo alizingua kuua ndugu zake ila alichofanyia wale weupe ni sawa tuu
Wangejaribu hivyo ungekuwa mwisho wa maisha yao....[emoji1]
Kama ambavyo wewe hauko vizuri kwenye kiswahili. Umeandika mheshiwa badala ya mheshimiwa.leo nilikuwa nacheki TBC jiwe alipowaita wale wagunduzi ikulu kuna sehemu alisema He don't care kiuhalisia He inaendana na doen't sio dont nimeprove kweli mheshiwa hayuko good in english
Je unasema hakuwa mnafiki? Bwana unapenda ndoto zako! Amin alifaulu sana unafiki na uwongo. Hujui historia yake?Tupo tofauti Binafsi namkubari sna huyu mtu sifa yke kubwa akuwai kuwa Mnafiki alisimamia anacho kiamini...
Nafikiria Ujanielewa General Iddy Amin Dada alikuwa mshenzi katika washenzi ila alisimamia ushenzi wake sio hawa ndugu zetu wa Chukua Chako Mapema wanajifanya wema uku kuna watu wasiojulikana Amin akuwa mnafiki alikuwa na kikosi kwa ajiri wapinzani wake akuwai kujifanya yy ni mzalendo kuliko wote Uganda Amin alikuwa wazi yupo pale kwa Ajiri ya tumbo lake na wezi wenzie...Je unasema hakuwa mnafiki? Bwana unapenda ndoto zako! Amin alifaulu sana unafiki na uwongo. Hujui historia yake?
Hujui alikuwa mwajeshi mkali wa ukoloni aliyejipatia nyota zake kuwinda Wagikuyu pale Kenya alipotumwa pale na Waingereza wakati wa vita ya Maumau? Ila alifurahia uwenyeviti wa Umoja wa Afrika baadaye...
Aliwezaje kuwa mtu anayeaminiwa na rais Obote mpaka alimpindua? Hata hivyo, wakati bado alikuwa mkuu wa jeshi la Obote alituma watu waliojaribu kumwua rais 1969, halafu 1970 aliagiza (kwa siri yote!) mauaji ya jenerali mwenzake Okoya aliyemhofia angechukua nafasi yake. Kumpindua Obote ilikuwa baadaye.
Hujui tangazo la Amin baada ya kumpindua Obote? Soma General and Administrative Order No. 2 (GAO 2/1971) :
It has been necessary to take action to save a bad situation from getting worse. We give here below examples of matters that have left the people angry, worried, and very unhappy.
I. The unwarranted detention without trial and for long periods of a large number of people, many of whom are totally innocent of any charges.
2. The continuation of a state of emergency over the whole country for an indefinite period, which is meaningless to everybody.
3. The lack of freedom in the airing of different views on political and social matters
Si ni unafiki kabisa maana akikosoa makosa yale ya Obote hakusita kuzizidisha?
Ni kitu gani kinachofanya watu hapa kumtetea huyu???
Basi hujadili Amin (aliyechezea pia ngoma ya uzalendo... km alipowapora na kufukuza Waganda Wahindi), unalilia wengine.Nafikiria Ujanielewa General Iddy Amin Dada alikuwa mshenzi katika washenzi ila alisimamia ushenzi wake sio hawa ndugu zetu wa Chukua Chako Mapema wanajifanya wema uku kuna watu wasiojulikana Amin akuwa mnafiki alikuwa na kikosi kwa ajiri wapinzani wake akuwai kujifanya yy ni mzalendo kuliko wote Uganda Amin alikuwa wazi yupo pale kwa Ajiri ya tumbo lake na wezi wenzie...
sorry madam ni spelling errorKama ambavyo wewe hauko vizuri kwenye kiswahili. Umeandika mheshiwa badala ya mheshimiwa.
Vita ya kudumu kati ya Tahajia na Tanzania. Kwa kawaida Tanzania inashinda.sorry madam ni spelling error
Hahaha....His Excellency, President for Life, Field Marshal, Al Hadji Doctor, VC, DSO, MC, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular.Idi Amin Dada
🙏🏾Vita inaisha mm ndo nazaliwa dis is dilutional shit toka nakua naenda shule nasikiaga tu nguvu tunayo sababu tunayo na na naaaa....ila sikuwahi kuona picha kama hii yaani kama nimatuzo yangekuwa yanatolewa ungepewa kama yote. Lete a habari nyingine sisi wa 80'S tujuane humu
Yes... Lakini akifanya mweusi tunaona sawa na tunamsifia lakini the same akifanya mzungu INAKUWA NI UBAGUZIAisee.
Kumbe jamaa alikuwa hivyo.....
Wenzio tulichimba mahandaki wallah nyuma ya homeVita inaisha mm ndo nazaliwa dis is dilutional shit toka nakua naenda shule nasikiaga tu nguvu tunayo sababu tunayo na na naaaa....ila sikuwahi kuona picha kama hii yaani kama nimatuzo yangekuwa yanatolewa ungepewa kama yote. Lete a habari nyingine sisi wa 80'S tujuane humu
Kwani ni nani haui wapinzani wake?Ipi sasa, kwamba hakuvamia Kagera na kudai ni sehemu ya Uganda? kwamba hakuua Wapinzani wake?
labda kama zile za kuua mwanaye ndio hata mimi huwa kama siziaminiamini.
Ili kusema uongo inabidi ufiche ukweliNdio maan nikasema historia mnazosoma zinawadanganya ova sitak mjadala zaid