CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
KumbeSixth sense..
Powerful intuition..
Hata pesa unaweza ipata uki pay attention
Kama siyo huna Roho wa Mungu basi utakuwa na pepo la utambuzi mkuu.Hi all….
Hivi karibuni naona kuna kitu ambacho kinazidi akilini/mawazoni mwangu.
Kwa mfano nikiwa namuwaza mtu muda sio mrefu ananipigia, au nikiwa nimeacha simu mbali afu nikamkumbuka mtu nakuta missed call zake…
Au simu ikiwa mbali nikaisikia inaita namuhisi mtu anayenipigia ni nani na kweli nakuta ni mtu huyo…
Hii inanitokea kwa watu tofauti tofauti, si kwa mtu mmoja. Zamani haikuwa hivi ila Sasa naona kama inazidSijaelewa ni nini hasa? Mwenye ujuzi nayo anaweza kunielewesha…
Hii ndiyo sababu,mleta uzi najitolea kutatua tatizo lako bila malipo😛😛Hutokea kama hujafanya sex kwa muda mrefu
Iyo hata mimi inanikutaga mi kwangu nachukulia kipawa nilichopewa na MunguHi all….
Hivi karibuni naona kuna kitu ambacho kinazidi akilini/mawazoni mwangu.
Kwa mfano nikiwa namuwaza mtu muda sio mrefu ananipigia, au nikiwa nimeacha simu mbali afu nikamkumbuka mtu nakuta missed call zake…
Au simu ikiwa mbali nikaisikia inaita namuhisi mtu anayenipigia ni nani na kweli nakuta ni mtu huyo…
Hii inanitokea kwa watu tofauti tofauti, si kwa mtu mmoja. Zamani haikuwa hivi ila Sasa naona kama inazidSijaelewa ni nini hasa? Mwenye ujuzi nayo anaweza kunielewesha…
You got active Spirit.. jitahidi Kuboresha Intuition na Subconscious mind yakoHi all….
Hivi karibuni naona kuna kitu ambacho kinazidi akilini/mawazoni mwangu.
Kwa mfano nikiwa namuwaza mtu muda sio mrefu ananipigia, au nikiwa nimeacha simu mbali afu nikamkumbuka mtu nakuta missed call zake…
Au simu ikiwa mbali nikaisikia inaita namuhisi mtu anayenipigia ni nani na kweli nakuta ni mtu huyo…
Hii inanitokea kwa watu tofauti tofauti, si kwa mtu mmoja. Zamani haikuwa hivi ila Sasa naona kama inazidSijaelewa ni nini hasa? Mwenye ujuzi nayo anaweza kunielewesha…
Nakuhakikishia ni ubongo wako unakuchezea tu. Unajua kitu kinachoitwa Deja vu? Basi hili unalopitia ni aina tofauti ya Deja vu tu. Ubongo wa mwanadamu ni kitu complex sana na kinaweza kikakuletea illusion za ajabu sana.Hi all….