ShootToKill
Member
- Dec 7, 2020
- 49
- 89
Mkuu umeandika concept nzito kwa lugha rahisi...Ingawa najua wengi wanaeza wasikuelewe. Naona hata mleta mada kama hajakuelewa vile, ndio maana hajawa interested na post yako.Hutokea kama hujafanya sex kwa muda mrefu