Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Km nimekuelewa hivi ,halafu mkuu Uzi wako ule was Freemasons Freemasons bado ?Hutokea kama hujafanya sex kwa muda mrefu

Unaimarishaje na kuboresha .hii kitu mm pia hunitokea sana tuYou got active Spirit.. jitahidi Kuboresha Intuition na Subconscious mind yako
Mimi sense zangu huongezeka mara nyingi nikiwa nimelala maana nikilala myu akipita hata mita mia nilipo hua nasikia vishindo vikubwa. Halafu naweza kulala huku nasikiliza redio kile kinachoongelewaa ndio huua nakiota...Kuna wakati nilikua naweza kusoma notice nikiwa nimelala. Naota kwamba nasoma topic fulani ambayo Sijawahi kuisoma na nikiamka nakuta najua vitu nilivyosoma.
Nilizembea kipindi cha nyuma nataka niimarishe uweza huo.. hua nikianagalia tu daftri kila kitu kinakaa kama nikiwa kwenye mtihani nakua napitia page moja moja kichwani naona slide zote zinajifungua....Hii ndio ilikua inanifanya nisisome kabisa kama sio siku ya paper.😅
Kumbe hata were umeona eeh jamaa kaandika simple lkn ujumbeMkuu umeandika concept nzito kwa lugha rahisi...Ingawa najua wengi wanaeza wasikuelewe. Naona hata mleta mada kama hajakuelewa vile, ndio maana hajawa interested na post yako.
Read my previous posts!Sasa mkuu, tukirudi kwenye mfano ulioutoa wa kuwaza panya anakatiza kabla hajakatiza na baadae akakatiza.
HumbleBoy98 amesema ni ile mfumo wa kupeleka taarifa kama kumbu kumbu kwa kitu ambacho kinatokea na kupelekea mtu kufikiri alishawahi kuona hicho kinachotokea wakati huo (Deja vu)
Hii yako naona kama inakua tofauti kidogo kwa maana unawaza kitu kisha kinatokea japo unaita coincidence, tofauti ya kutabiri na hicho ulichokiandika ni ipi?
Unaweza kueleza ni mazingira yapi tunasema mtu ametabiri kitu?
Kama mtu amewaza panya atakatiza, akawaambia watu panya atakatiza na kweli panya akakatiza, hiyo ni kitu gani?
Ahsante
Read my previous posts!
Mimi sijakataa alicho kiandika, kinacho endelea ni kwamba haielewi lugha niliyotumia.
Mwanzo nimeandika kwamba ubongo unamdanganya mtu kwamba taarifa anayoiona at that moment tayari alikua anajua itatokea kabla haijatokea (hali inayomfanya muhusika ahisi moments ziliwahi tokea). how do you call/explain this kwa lugha nyepesi ya kueleweka bilakutumia neno Predict?.
Mfano wa panya ni kuelezea uhalisia wa taarifa ile ambayo ubongo unamuongoza mtu kudhani alimuona panya kabla hajamuona panya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huyuYou got active Spirit.. jitahidi Kuboresha Intuition na Subconscious mind yako
Mimi sense zangu huongezeka mara nyingi nikiwa nimelala maana nikilala myu akipita hata mita mia nilipo hua nasikia vishindo vikubwa. Halafu naweza kulala huku nasikiliza redio kile kinachoongelewaa ndio huua nakiota...Kuna wakati nilikua naweza kusoma notice nikiwa nimelala. Naota kwamba nasoma topic fulani ambayo Sijawahi kuisoma na nikiamka nakuta najua vitu nilivyosoma.
Nilizembea kipindi cha nyuma nataka niimarishe uweza huo.. hua nikianagalia tu daftri kila kitu kinakaa kama nikiwa kwenye mtihani nakua napitia page moja moja kichwani naona slide zote zinajifungua....Hii ndio ilikua inanifanya nisisome kabisa kama sio siku ya paper.😅
How mate??Mimi huyu
You got active Spirit.. jitahidi Kuboresha Intuition na Subconscious mind yako
Mimi sense zangu huongezeka mara nyingi nikiwa nimelala maana nikilala myu akipita hata mita mia nilipo hua nasikia vishindo vikubwa. Halafu naweza kulala huku nasikiliza redio kile kinachoongelewaa ndio huua nakiota...Kuna wakati nilikua naweza kusoma notice nikiwa nimelala. Naota kwamba nasoma topic fulani ambayo Sijawahi kuisoma na nikiamka nakuta najua vitu nilivyosoma.
Nilizembea kipindi cha nyuma nataka niimarishe uweza huo.. hua nikianagalia tu daftri kila kitu kinakaa kama nikiwa kwenye mtihani nakua napitia page moja moja kichwani naona slide zote zinajifungua....Hii ndio ilikua inanifanya nisisome kabisa kama sio siku ya paper.😅
Mi humuwaza mtu ,dk chache anapiga Simu hata kama sijawasiliana nae mwaka mzima.How mate??
Soon utakuwa nabii ni dalili hizo[emoji13]Hi all….
Hivi karibuni naona kuna kitu ambacho kinazidi akilini/mawazoni mwangu.
Kwa mfano nikiwa namuwaza mtu muda sio mrefu ananipigia, au nikiwa nimeacha simu mbali afu nikamkumbuka mtu nakuta missed call zako.
Au simu ikiwa mbali nikaisikia inaita namuhisi mtu anayenipigia ni nani na kweli nakuta ni mtu huyo.
Hii inanitokea kwa watu tofauti tofauti, si kwa mtu mmoja. Zamani haikuwa hivi ila sasa naona kama inazidi sijaelewa ni nini hasa? Mwenye ujuzi nayo anaweza kunielewesha.
unakaribia kuwa kichaa bintiHi all….

Kumbe eehunakaribia kuwa kichaa binti
Umeukimbia uzi wako wa Mungu wa Freemason! Sababu ni nini? Weka wazi ili nikusamehe kiroho Safi mkuu[emoji41]Hutokea kama hujafanya sex kwa muda mrefu
Umeukimbia uzi wako wa Mungu wa Freemason! Sababu ni nini? Weka wazi ili nikusamehe kiroho Safi mkuu![]()
ntauendeleza..Umeukimbia uzi wako wa Mungu wa Freemason! Sababu ni nini? Weka wazi ili nikusamehe kiroho Safi mkuu[emoji41]
Okay!! Lini?ntauendeleza..