Neurologist
JF-Expert Member
- Nov 5, 2020
- 518
- 1,296
Sijui nimshauri afungue kanisa tu[emoji848]Mhmm kazi unayo hapo,
May be mwenzetu ushabarikiwa
Sijui nimshauri afungue kanisa tu[emoji848]Mhmm kazi unayo hapo,
May be mwenzetu ushabarikiwa
CL isijekuwa watokea future, umekuja kuitembelea dunia ya sasa...
Huo ni mlango wa sita wa fahamu, telepathy. Ukija kuutumia utafaidika nao. Kwa mfano unaweza kuwa kila urudipo nyumbani umezoea kupita njia fulani, ghafla siku moja wazo linavuja la kupita njia tofauti na huko unakutana na rafiki mlie potezana miaka mingi sana. Pengine unatembea porini, linakuijia wazo la kuangalia pembeni, unamwona nyoka kasimamisha kichwa anakusubiri usogee akugonge. Mifano ni mingi.Hi all….
Hivi karibuni naona kuna kitu ambacho kinazidi akilini/mawazoni mwangu.
Kwa mfano nikiwa namuwaza mtu muda sio mrefu ananipigia, au nikiwa nimeacha simu mbali afu nikamkumbuka mtu nakuta missed call zako.
Au simu ikiwa mbali nikaisikia inaita namuhisi mtu anayenipigia ni nani na kweli nakuta ni mtu huyo.
Hii inanitokea kwa watu tofauti tofauti, si kwa mtu mmoja. Zamani haikuwa hivi ila sasa naona kama inazidi sijaelewa ni nini hasa? Mwenye ujuzi nayo anaweza kunielewesha.