HumbleBoy98
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 388
- 397
Mmh! Mkuu kwa ninavyofahamu De ja Vu ni ile Hali ya ubongo ku misinterprete taarifa, yaani zile impulse zinazoingia katika ubongo badala ya kutafsiriwa Kama taarifa mpya zenyewe zinakuja kwa mfumo wa kumbukumbu yaani 'memory'.
Kwa mfano kama ulishawahi kufika sehemu ukaanza kuhisi "mbona Kama niliwahi kuwepo kwenye hili eneo kabla?!" Kumbe hukuwahi fika hapo hata siku moja! Au labda kuhisi "mbona Kama hii siku inajirudia!" Yani unahisi ule mfululizo wa matukio fulani yaliyotokea kwa wakati huo kuna siku za nyuma yaliwahi kutokea hivyo hivyo na kwa mtiririko huo huo kiasi kwamba mtu anahisi ile moment imejirudia kumbe sivyo ni matukio mapya kabisa ambayo hajawahi kuyashudia kabisa! Yani hapo ni kwamba new sensory information imekuja ikiwa Kama 'memory' hiyo ndio De ja Vu.
Nimeandika hivi kutokana na jinsi ulivyosema kuwa 'De Ja Vu' ni ile Hali ya kuhisi unaweza kubashiri matukio yatakayotokea ndipo uliponichanganya mkuu.

Unajua "deja vu" (hali ya kuhisi unaweza bashiri matukio yanayotokea) husababishwa na nini? Well! Ukielewa ni nini basi utagundua hiyo sio nguvu yeyote bali ni mchanganyiko wa uwasilishwaji taarifa katika ubongo, kiufupi ni tatizo la taarifa katika ubongo.
Hapo kuna matukio mawili (i)kupigiwa simu na (ii)kumuwaza aliyekupigia
Kilichotokea ni kumuwaza aliyekupigia na sio kupigiwa na uliyemuwaza. Kunawakati ubongo unachanganya mtiririko wa matukio.
Oups! Alafu nilipokuwaza tu nikaona uzi wako. I love charming intelligent ladies[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app