Hii ni nguvu gani?

Mmh! Mkuu kwa ninavyofahamu De ja Vu ni ile Hali ya ubongo ku misinterprete taarifa, yaani zile impulse zinazoingia katika ubongo badala ya kutafsiriwa Kama taarifa mpya zenyewe zinakuja kwa mfumo wa kumbukumbu yaani 'memory'.
Kwa mfano kama ulishawahi kufika sehemu ukaanza kuhisi "mbona Kama niliwahi kuwepo kwenye hili eneo kabla?!" Kumbe hukuwahi fika hapo hata siku moja! Au labda kuhisi "mbona Kama hii siku inajirudia!" Yani unahisi ule mfululizo wa matukio fulani yaliyotokea kwa wakati huo kuna siku za nyuma yaliwahi kutokea hivyo hivyo na kwa mtiririko huo huo kiasi kwamba mtu anahisi ile moment imejirudia kumbe sivyo ni matukio mapya kabisa ambayo hajawahi kuyashudia kabisa! Yani hapo ni kwamba new sensory information imekuja ikiwa Kama 'memory' hiyo ndio De ja Vu.
Nimeandika hivi kutokana na jinsi ulivyosema kuwa 'De Ja Vu' ni ile Hali ya kuhisi unaweza kubashiri matukio yatakayotokea ndipo uliponichanganya mkuu.

 

Is this coming from what you know or what you understand? If its from what you understand then i expect that hutaona utofauti kati ya nilichoandika na ulichoandika.

Sasa outcome ya huo mkanganyiko wa taarifa ni nini? The brain tricks a person into thinking that the events are predictable.

Sasa hapo imetokea kwenye event moja, kama ingetokea kwenye event kadhaa mfululizo angehisi siku imejirudia.






Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimekuogopa sasa itabidi nikuvalie barakoa..
 
Umenikumbusha movie ya happy death day
 
Mkuu mazojms, kwa mujibu wa maelezo yako ulisema, (nanukuu) "Hali ya kuhisi unaweza kubashiri matukio yanayotokea". While Deja Vu is literally a strong sense that you have lived in the present time during the past or have experienced the current events in the past.
And what is prediction?? The anticipation of what is gonna happen in the future right? Can you recognize the difference?
What I'm trying to say here is that, basically the sense of possessing the ability to predict the future is not Deja Vu itself, as you implied, but it is it's result!
And to answer your question, this comes from both, what I know and what I understand, because I have experienced the condition myself, I know what it's like and I understand what it is.
 
Ni kipi kinafanya uhisi kwamba matukio yanajirudia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini Kuna "uwanja wa mawazo" (thought sphere). Mawazo yetu yapo humo yanaonana yanagongama, kama ambavyo huku in the physical world tunaonana tunapishana.

I don't know if we can consciously manipulate that plane of existence. But I believe sometimes people do "meet" in there.

Hujawahi kuwaza kitu muda mrefu ukasema utakifanya na hukumwambia mtu ukafikri we ndo ingekuwa wa kwanza kukifanya mf. Kuanzisha biashara fulani unique eneo flani, ghafla mtu ambaye hata humjui kakifanya!!

Au kama hivyo umemuwaza mtu na yeye huyo kakutumia msg au kukupigia!
 
Ni kipi kinafanya uhisi kwamba matukio yanajirudia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali ulilouliza mwanzo ni hilo hapo juu na nimekupa jibu kulingana na matakwa ya hilo swali lako, labda Kama wewe ndo hujui umeuliza nini!
Nilishajieleza kuwa kinachofanya mtu anahisi tukio linajirudia ni kwasababu ubongo unakuwa unatafsiri taarifa inayoingia Kama kumbukumbu hali inayofanya mtu ahisi ameshawahi kuexperience Hilo tukio nyakati za nyuma! Hilo ndio jibu la swali lako.
Hili la pili unaloniuliza kipi kinachofanya mtu ahisi anaexperience Deja Vu simply naweza kukupa jibu lile lile maana hakuna ulichofafanua ili nikupe jibu stahiki unalohitaji zaidi ya kuniambia niache bangi!
Eleza vizuri unachotaka ufafanuliwe kwanza.
 
Kinacho kufanya usielewe nauliza nini ndicho kinacho kufanya uendelee kubisha pasipo na ubishi.

Kinachofanya mtu ahisi anaexperience deja vu ni sense of predictability ya matukio.
Mf nikiwaza kwamba panya atakatiza alafu few sec later akakatiza nitahisi kama nimetabiri hilo tukio. Hiyo sense ndio inamfanya mtu afikiri "labda hii siku ilishawah tokea".

Read careful and understand kabla hujaamua kuingia kwenye mabishano, kiufupi maelezo yako na yangu hayapishani.

Ukiendelea kubisha basi ulini quote ukiwa umejiandaa kubisha which is not wise.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni nguvu ya kimakusudi. Unajuwa nani anakupigia na ndiyo maana unajuwa simu yako inaiita. Kingine, unakuwa unajuwa nani anakupigia simu na kwa wakati gani.
 

Sasa mkuu, tukirudi kwenye mfano ulioutoa wa kuwaza panya anakatiza kabla hajakatiza na baadae akakatiza.

HumbleBoy98 amesema ni ile mfumo wa kupeleka taarifa kama kumbu kumbu kwa kitu ambacho kinatokea na kupelekea mtu kufikiri alishawahi kuona hicho kinachotokea wakati huo (Deja vu)

Hii yako naona kama inakua tofauti kidogo kwa maana unawaza kitu kisha kinatokea japo unaita coincidence, tofauti ya kutabiri na hicho ulichokiandika ni ipi?

Unaweza kueleza ni mazingira yapi tunasema mtu ametabiri kitu?

Kama mtu amewaza panya atakatiza, akawaambia watu panya atakatiza na kweli panya akakatiza, hiyo ni kitu gani?

Ahsante
 
Nguvu ya jini Makato. Uncle Mshana Jr njoo unisaidie hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…