Hii ni nguvu gani?

Unaimarishaje na kuboresha .hii kitu mm pia hunitokea sana tu
 
Mkuu umeandika concept nzito kwa lugha rahisi...Ingawa najua wengi wanaeza wasikuelewe. Naona hata mleta mada kama hajakuelewa vile, ndio maana hajawa interested na post yako.
Kumbe hata were umeona eeh jamaa kaandika simple lkn ujumbe
 
Read my previous posts!
Mimi sijakataa alicho kiandika, kinacho endelea ni kwamba haielewi lugha niliyotumia.
Mwanzo nimeandika kwamba ubongo unamdanganya mtu kwamba taarifa anayoiona at that moment tayari alikua anajua itatokea kabla haijatokea (hali inayomfanya muhusika ahisi moments ziliwahi tokea). how do you call/explain this kwa lugha nyepesi ya kueleweka bilakutumia neno Predict?.

Mfano wa panya ni kuelezea uhalisia wa taarifa ile ambayo ubongo unamuongoza mtu kudhani alimuona panya kabla hajamuona panya.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ahsante mkuu, tunaendelea kujifunza.
 
Tumia muda huo kuwaaga maana huna muda mrefu hizo n dalili za kusepa
 
Mimi huyu
 
Jaribu ku concentrate chimbo la dhahabu likitema madini, halafu utuletee mrejesho..
 

Hongera sana...

Huko NASA mission ya kwenda Mars inakamilika lini?
 
How mate??
Mi humuwaza mtu ,dk chache anapiga Simu hata kama sijawasiliana nae mwaka mzima.
Humuwaza mtu pengine hatujaonana hata miaka miwili, Sikh hiyo tutaonana.
Naweza tu kumfikiria mtu ana shida kubwa, nikawiwa kumtafuta sana.
Sitatulia mpk nimtafute na linakuwa kama deni, nikimtafuta nakuta mgonjwa, au yuko kwenye changamoto kubwa.
Au nikampigia, atasema yuko ok.
Nitakaa simu ila sitaridhika, some days later nitapiga tena, anasema ujue that day I was very sick sikutaka tu kukupa wasiwasi.

Shuleni, mi nilikuwa naandika ubaoni kutoka kichwani, nikiandika points za topics 6 ,5 nazikuta kwenye mtihani na same areas niliandika jana yake.

Nilikuwa na mtindo wa kulala darasani na kwenye discussion , ila nakuwa nasikia lila kinachoendelea na nakuwa nimelala kabisa, nikiamka naendelea malipo vizur yu, tena kwa kusight mlichoongea nilipokuwa usingizini.

Enzi nafuatilia simu ya my partner, kuna namna tu nikisema hili jina nna mashaka nalo.
Na mind you linakuwa halijafanya anything prior.
Days later nakuta kweli kuna shida.

Niliwahi tu kuwaza kuwa ana katoto mahali, i was very sure.
Sikuambiwa na mtu, sikuona texts wala kusikia maongezi popote.
Ila nilijua tu kuna mwanafamilia sehemu.
Namuona kabisa anafanana na wanangu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Six months later nikaja kujua ni kweli

Humuwaza mtu ghafla , days late nasikia amefariki.( huniuma mno mno mno)

Ah ni mengi!
 
CL isijekuwa watokea future, umekuja kuitembelea dunia ya sasa...
 
Soon utakuwa nabii ni dalili hizo[emoji13]
 
unakaribia kuwa kichaa binti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…