Hii ni nguvu gani?

Huo ni mlango wa sita wa fahamu, telepathy. Ukija kuutumia utafaidika nao. Kwa mfano unaweza kuwa kila urudipo nyumbani umezoea kupita njia fulani, ghafla siku moja wazo linavuja la kupita njia tofauti na huko unakutana na rafiki mlie potezana miaka mingi sana. Pengine unatembea porini, linakuijia wazo la kuangalia pembeni, unamwona nyoka kasimamisha kichwa anakusubiri usogee akugonge. Mifano ni mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…