Hii ni njia nyingine nzuri ya uokoaji kariakoo, kwa wale wahanga wanaopiga simu.

stevepaul

Member
Joined
May 15, 2017
Posts
94
Reaction score
132
Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi.

Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao.

Tumieni simu au computer zenu kuingia kwenye web ya FIND MY DEVICE ya google kisha ingiza email na password ya mhanga utaona location mahali alipo kisha utafanya uokoaji. Mimi nipo mkoa wa mbali ila naamini kupitia thread hii nitasaidia wengi. Amen.
 
Duh kwani shida ni kujua wako wapi?
Wanajua kabisa kwamba wapo chini ya kifusi ni namna ya kuwafikia tu ndiyo mtihani kutokana na uduni wa vifaa vya uokoaji ni changamoto watu wanatumia mpaka. Majembe sio poa.
 
Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi.

Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao. Tumieni simu au computer zenu kuingia kwenye web ya FIND MY DEVICE ya google kisha ingiza email na password ya mhanga utaona location mahali alipo kisha utafanya uokoaji. Mimi nipo mkoa wa mbali ila naamini kupitia thread hii nitasaidia wengi. Amen.
Kweli wewe ni wa mkoani😅😅😅
 
Mbeba mizigo mmoja kaokoa watu 5 kwa mbinu za kimtaani kabisa ila mainjinia wasomi na madigrii yao wanashindwa cha kufanya wanashangaa shangaa tu na matumbo yao,wewe nawe na IT yako ya Data Star training collage Mwananyamala unakuja na idea ya kipuuzi kabisa bila kuchanganua kwamba tatizo sio hatujui location shida ni jinsi ya kifika walipo.Msukuma na Dotto Magari wakiwadharau wasomi mnakasirika shwaini kabisa.
 
20240915_183630.jpg

Hii nayo kaliii..
 
Kule chini network tuu hua inakuaga shida mpaka upande juu, Internet jeee?
Pili tangu jana asubuhi simu nyingi zitakua zimezima/zinazima, kuwasha data na location sizani kama zita survive hata dk, ndio kabisaa watakata mawasiliano....
Sidhani kama utajaribu hata kuwaza kuhusu kucharge Simu...

Ingekua ni eneo la maduka ya simu, ingekua angalau kuhamisha laini.
 
Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi.

Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao. Tumieni simu au computer zenu kuingia kwenye web ya FIND MY DEVICE ya google kisha ingiza email na password ya mhanga utaona location mahali alipo kisha utafanya uokoaji. Mimi nipo mkoa wa mbali ila naamini kupitia thread hii nitasaidia wengi. Amen.
safi sana lakini hawa D2 wanaweza hii?
 
Mbeba mizigo mmoja kaokoa watu 5 kwa mbinu za kimtaani kabisa ila mainjinia wasomi na madigrii yao wanashindwa cha kufanya wanashangaa shangaa tu na matumbo yao,wewe nawe na IT yako ya Data Star training collage Mwananyamala unakuja na idea ya kipuuzi kabisa bila kuchanganua kwamba tatizo sio hatujui location shida ni jinsi ya kifika walipo.Msukuma na Dotto Magari wakiwadharau wasomi mnakasirika shwaini kabisa.
Msimuite mpuuzi. All he wanted to do is to help.

Kwa staili hii ukipata mteja wa Akili niite mbwa nimekaa pale.
 
Duh kwani shida ni kujua wako wapi?
Wanajua kabisa kwamba wapo chini ya kifusi ni namna ya kuwafikia tu ndiyo mtihani kutokana na uduni wa vifaa vya uokoaji ni changamoto watu wanatumia mpaka. Majembe sio poa.
Hapo sio uduni wa vifaa ni akili za waokoaji yaani wao wanasubiria mtu amtukane kiongozi wa serikali walale naye mbele ila kwenye mambo kama haya hawana haraka kabisa.
 
Mbeba mizigo mmoja kaokoa watu 5 kwa mbinu za kimtaani kabisa ila mainjinia wasomi na madigrii yao wanashindwa cha kufanya wanashangaa shangaa tu na matumbo yao,wewe nawe na IT yako ya Data Star training collage Mwananyamala unakuja na idea ya kipuuzi kabisa bila kuchanganua kwamba tatizo sio hatujui location shida ni jinsi ya kifika walipo.Msukuma na Dotto Magari wakiwadharau wasomi mnakasirika shwaini kabisa.
Shida waliopo pale wote wamefundishwa kutumia nguvu mwanajeshi na askari yeye mda wote anawaza vita hawajafundishwa kutumia akili.
 
hao viongozi hapo walitakiwa wavue hayo mashati yao ya kutuonyesha manyota yao mabegani,maanq hayana faida kwa wakati huo.
waite vikosi vyote.jwtz,jkt,police ote bila ya kuajali uokoaji na wengine hadi trafic. huwezi kukosa vijana 400.
ukichanganya na raia nawahakikishia hata saa2 haziishi watu wangeshatoka. JKT wana mtrekta magreda wanafeli wapi hawa viongozi na manyota yao mabegani..!

sasa kwa utalatibu huu kama wa kuongoza vita kasimama na kafimbo kake huu ni uchuro tu.

HII NI VITA NA VITA INAHUSISHA ASKARI NA RAIA OTE NCHINI.
 
Back
Top Bottom