Kweli wewe ni wa mkoani😅😅😅Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi.
Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao. Tumieni simu au computer zenu kuingia kwenye web ya FIND MY DEVICE ya google kisha ingiza email na password ya mhanga utaona location mahali alipo kisha utafanya uokoaji. Mimi nipo mkoa wa mbali ila naamini kupitia thread hii nitasaidia wengi. Amen.
Wanapata.Wanapata internet?
Ndio bossKweli wewe ni wa mkoani😅😅😅
Charge bado ipo?Wanapata.
Mbeba mizigo mmoja kaokoa watu 5 kwa mbinu za kimtaani kabisa ila mainjinia wasomi na madigrii yao wanashindwa cha kufanya wanashangaa shangaa tu na matumbo yao,wewe nawe na IT yako ya Data Star training collage Mwananyamala unakuja na idea ya kipuuzi kabisa bila kuchanganua kwamba tatizo sio hatujui location shida ni jinsi ya kifika walipo.Msukuma na Dotto Magari wakiwadharau wasomi mnakasirika shwaini kabisa.Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi.
Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao. Tumieni simu au computer zenu kuingia kwenye web ya FIND MY DEVICE ya google kisha ingiza email na password ya mhanga utaona location mahali alipo kisha utafanya uokoaji. Mimi nipo mkoa wa mbali ila naamini kupitia thread hii nitasaidia wengi. Amen.
safi sana lakini hawa D2 wanaweza hii?Mods naomba msiuunganishe uzi huu na zingine ili uweze kusaidia wengi.
Wale waokoaji ambao mpo nje ya jengo na mnawasiliana na wahanga waliopo ndani ya jengo, waombeni wahanga email na password za gmail account kisha waambieni wawashe location kwenye simu zao. Tumieni simu au computer zenu kuingia kwenye web ya FIND MY DEVICE ya google kisha ingiza email na password ya mhanga utaona location mahali alipo kisha utafanya uokoaji. Mimi nipo mkoa wa mbali ila naamini kupitia thread hii nitasaidia wengi. Amen.
Msimuite mpuuzi. All he wanted to do is to help.Mbeba mizigo mmoja kaokoa watu 5 kwa mbinu za kimtaani kabisa ila mainjinia wasomi na madigrii yao wanashindwa cha kufanya wanashangaa shangaa tu na matumbo yao,wewe nawe na IT yako ya Data Star training collage Mwananyamala unakuja na idea ya kipuuzi kabisa bila kuchanganua kwamba tatizo sio hatujui location shida ni jinsi ya kifika walipo.Msukuma na Dotto Magari wakiwadharau wasomi mnakasirika shwaini kabisa.
Hapo sio uduni wa vifaa ni akili za waokoaji yaani wao wanasubiria mtu amtukane kiongozi wa serikali walale naye mbele ila kwenye mambo kama haya hawana haraka kabisa.Duh kwani shida ni kujua wako wapi?
Wanajua kabisa kwamba wapo chini ya kifusi ni namna ya kuwafikia tu ndiyo mtihani kutokana na uduni wa vifaa vya uokoaji ni changamoto watu wanatumia mpaka. Majembe sio poa.
Shida waliopo pale wote wamefundishwa kutumia nguvu mwanajeshi na askari yeye mda wote anawaza vita hawajafundishwa kutumia akili.Mbeba mizigo mmoja kaokoa watu 5 kwa mbinu za kimtaani kabisa ila mainjinia wasomi na madigrii yao wanashindwa cha kufanya wanashangaa shangaa tu na matumbo yao,wewe nawe na IT yako ya Data Star training collage Mwananyamala unakuja na idea ya kipuuzi kabisa bila kuchanganua kwamba tatizo sio hatujui location shida ni jinsi ya kifika walipo.Msukuma na Dotto Magari wakiwadharau wasomi mnakasirika shwaini kabisa.
Shida waliopo pale wote wamefundishwa kutumia nguvu mwanajeshi na askari yeye mda wote anawaza vita hawajafundishwa kutumia akili.