Hii ni njia nyingine nzuri ya uokoaji kariakoo, kwa wale wahanga wanaopiga simu.

GPS haifanyi kazi accurately ukifunikwa na kifusi, unahitaji simu iwe na clear view of sky ili upate accurate location.
 
Jw
Je kama majeruhi Hana bando ama anatumia kiswasawadu
 
Aisee jamaa wewe unachekesha sana. Naona hujui hata location kwenye simu zina maana gani. Kwa kifupi ujuzi wako wa haya mambo ni sifuri. Nikuambie tu location kwenye simu haikupeleki exactly mpaka pale mtu alipokaa na pia tatizo lililopo siyo kwamba hawajui location yao bali ni kifusi kilichowafunika.
 
Tuheshimiane mkuu
Nani kasema nimesoma Data Star training collage Mwananyamala

Mkuu mi sipendi dharau jua hilo 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
 
Unakosea kusema ni msomi. Huoni kuwa maoni aliyotoa yanaonyesha kabisa kuwa jamaa hana idea yoyote na mambo ya location kwenye simu na pia hajui kabisa ni nini kinachofanya wasifikiwe haraka? na zaidi amewahi kuanzisha thread bila kujiuliza mara mbili ili aonekane ni bonge la mtaalam?
 
Huwezi kupinga wazo la mtu mpuuzi mmoja wewe, unataka wote twende tukainue vifusi kama wendawazimu bila kuwa na mpango mkakati...?

Unadiriki kusema hakuna msaada wowote wa kitaalamu uliotolewa au wote tuwe makuli mbwa mmoja wewe
 
serikali yetu inaouwezo wa kununua v8 kila bajeti ya mwaka, na inaouwezo wa kununua magari ya kuzuia chadema kuandamana ila haina uwezo wa kununua vifaa vya uokozi kwa ajili ya maafa...so sad!!
 
FIka eneo la tukio toa mawazo yako hakuna atakayekupuuza kama yatakua na msaada na utaonekana mtu wa maana kabisa yakifanikiwa
Mimi sio mwana ccm nchi yetu ili usikilizwe au uwe na akili lazima uwe mwana ccm kwanza kwa hyo mpaka hapo nishafeli.
 
serikali yetu inaouwezo wa kununua v8 kila bajeti ya mwaka, na inaouwezo wa kununua magari ya kuzuia chadema kuandamana ila haina uwezo wa kununua vifaa vya uokozi kwa ajili ya maafa...so sad!!
kama kifaa gani?
 
Da mwamba umetisha,wanakupinga ila umewaza mbali japo shida sio kujua walipo bali jinsi ya kuwafikia
Ametisha nini hapa yaan mtu hewa ni ndogo huko chini unakuja na mawazo yako ya ajabu unafikiri location itasoma wapi hapo na jengo lenyew ndio hilo sio muda tutakuunganisha na Akina na hawa viongozi wetu.
 
huyu ni mmjawapo ya walioanza kutumia simu hivi karibuni nyuma ya Keybord anaonekana wa maana sanaa
 
Asante kwa ushauri mkuu. Naamini timu ya uokoaji ya Chalamila itaufanyia kazi kuwaokoa ndugu zetu walionasa chini ya jengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…