Hii ni proof kuwa bila Marekani maisha hayawezekani

Mkuu, ebu rekebisha hapo kwenye 'Wameshikiria Maisha yetu', weka 'Wameshikiria Maisha yangu'.

Sie wengine Maisha yetu yapo Mikononi mwa Mungu, na tumekombolewa kwa Damu ya thamani sana!
hahaha miozo tu hii michadema vichwa nazi, tupa kule
 
Mkuu, ebu rekebisha hapo kwenye 'Wameshikiria Maisha yetu', weka 'Wameshikiria Maisha yangu'.

Sie wengine Maisha yetu yapo Mikononi mwa Mungu, na tumekombolewa kwa Damu ya thamani sana!
Halafu bado unategemea dawa na magari yao

MÊmENtO HoMO
 
Angalia jana insta, whatsap na facebook ilivyopotea na watu tukapoteana kabisa. Tusijaribu kuwaita mabeberu mana wameshikilia maisha yetu na imawezekana walifanya hivyo ili waone how do we value them.

Hata case ya mbowe wakiamua kumwambia samia amtoe gerezani fasta anamtoa vinginevyo wanamute internate na social media nchi inakuwa null and void.
Kabla ya insta, whatsap na facebook hakukuwa na maisha, nyie vijana wa kizazi cha dot.com hamjielewi kabisa.....
 
Hawawezi ushindani ni mkubwa Sana wa teke duniani sasa.
Washukuru walipotea usiku,wangepotea siku 2 tu.We chat, telegram, tiktok wangeshika kasi
 
Angalia jana insta, whatsap na facebook ilivyopotea na watu tukapoteana kabisa. Tusijaribu kuwaita mabeberu mana wameshikilia maisha yetu na imawezekana walifanya hivyo ili waone how do we value them.

Hata case ya mbowe wakiamua kumwambia samia amtoe gerezani fasta anamtoa vinginevyo wanamute internate na social media nchi inakuwa null and void.

Kuna watu walifikiria hivyo kwa jiwe. Waulize Msigwa, pole pole, bashiri, Diblo, shabaya au hata konda boy.
 
Lkn wao ndo walikuletea hizo habari za uwepo wa MUNGU. Una uhakika walikueleza ukweli wote? Manake vitabu vyote vya Mungu wameandika wao. Na karibu picha zote za shetani humchora akiwa mweusi
Mkuu, ebu rekebisha hapo kwenye 'Wameshikiria Maisha yetu', weka 'Wameshikiria Maisha yangu'.

Sie wengine Maisha yetu yapo Mikononi mwa Mungu, na tumekombolewa kwa Damu ya thamani sana!
 
Hata tiktok ni mabeberu wale wale. Hivi africa tunajivunia nini zaidi ya maelfu ya manabii na mitume wa kutishana tu ujihisi kuwa unakufa siku hiyohiyo
... hapana Mkuu; tiktok ni wajamaa wenzetu; marafiki zetu wa damu China!
 
Kwa kuwasaidia ,isiwe mnategemea kitu kimoja ,lazima mnakuwa na back up ,haswa mkiwa ni wale watu wenye makundi kama ibilisi ,likizima moja mnakuwepo kwengine ,wasapu,insta na fesibuku ni kampuni moja ,sababu ya kuzima alikosa au mapato yalishuka ghafla.

gaidi akienda kulipuwa sava ndo itakuwa kindende lazima tujuwe kichina au kirusi.
 
Kabla ya insta, whatsap na facebook hakukuwa na maisha, nyie vijana wa kizazi cha dot.com hamjielewi kabisa.....
Maisha yalikuwa magumu na ilikuwa kugongana kwa kwend mbele bila conections kama siku hizi
 
Upo sawa...wengine tulipofika chuo ndo kompyuta zikawa zimeingia, ikaja internet, google, simu za mkononi siemens C35 kipindi hicho vijana mliopo chuo hamjazaliwa au bado mnanyonya maziwa kwa mama.....
 
Angalia jana insta, whatsap na facebook ilivyopotea na watu tukapoteana kabisa. Tusijaribu kuwaita mabeberu mana wameshikilia maisha yetu na imawezekana walifanya hivyo ili waone how do we value them.

Hata case ya mbowe wakiamua kumwambia samia amtoe gerezani fasta anamtoa vinginevyo wanamute internate na social media nchi inakuwa null and void.
Unajua mtu akisha pewa cheo cha Gaidi, America inamchukulia hivyo hata kesi akiishinda! Mbele ya macho yao Mbowe ni Gaidi kama magaidi waliopo Guantanamo! Hasa ukiunganisha na magaidi waliopo kusini mwa nchi yetu, Mbowe anakuwa Gaidi la kutisha wamarekani - hapo hawamchekei mtu! Unajua tena walisha umwa na nyoka, hata Jani lina watisha!
 
mmoja wa watu aliowahi kuwaita wamarekani kuwa mabeberu nae kafurahia urejeo.
Screenshot_20211005-114230_Instagram.jpg
 
Mkuu, ebu rekebisha hapo kwenye 'Wameshikiria Maisha yetu', weka 'Wameshikiria Maisha yangu'.

Sie wengine Maisha yetu yapo Mikononi mwa Mungu, na tumekombolewa kwa Damu ya thamani sana!
Na wewe hebu rekebisha badala ya kusema wameshikiria maisha ... sema ... wameshikilia maisha
 
Angalia jana insta, whatsap na facebook ilivyopotea na watu tukapoteana kabisa. Tusijaribu kuwaita mabeberu mana wameshikilia maisha yetu na imawezekana walifanya hivyo ili waone how do we value them.

Hata case ya mbowe wakiamua kumwambia samia amtoe gerezani fasta anamtoa vinginevyo wanamute internate na social media nchi inakuwa null and void.
Pole sana mtumwa wa akili!! Akili yako imetekwa na mabeberu kiasi ambacho unawaabudu kabisa!! Maisha yangu hayakushikiliwa na MAREKANI kama yalivyoshikiliwa ya kwako!! Umechagua mwenyewe kuwa mtumwa wa mabeberu!!
Mzisha kabla ya fce book
 
Unajua mtu akisha pewa cheo cha Gaidi, America inamchukulia hivyo hata kesi akiishinda! Mbele ya macho yao Mbowe ni Gaidi kama magaidi waliopo Guantanamo! Hasa ukiunganisha na magaidi waliopo kusini mwa nchi yetu, Mbowe anakuwa Gaidi la kutisha wamarekani - hapo hawamchekei mtu! Unajua tena walisha umwa na nyoka, hata Jani lina watisha!

Una habari Mzee Mandela alishawahi kuwekwa kundi moja na magaidi? Alitangazwa gaidi.
 
Angalia jana insta, whatsap na facebook ilivyopotea na watu tukapoteana kabisa. Tusijaribu kuwaita mabeberu mana wameshikilia maisha yetu na imawezekana walifanya hivyo ili waone how do we value them.

Hata case ya mbowe wakiamua kumwambia samia amtoe gerezani fasta anamtoa vinginevyo wanamute internate na social media nchi inakuwa null and void.
Kwani kabla ya whatsup, Twitter na Facebook maisha yalikuwa hayaendi?
 
Una habari Mzee Mandela alishawahi kuwekwa kundi moja na magaidi? Alitangazwa gaidi.
Wazungu walimsafisha na kujidai kumkubali Mandela ili kuokoa wazungu wenzao (Boers and a few English) waendelee kukaa na kufaidi ardhi ya Afrika ya Kusini! Lakini Myoyoni mwao Mandela alikuwa/bado ni Gaidi!
Mipango yao hiyo imewanufaisha wazungu South Africa - lakini makosa makubwa kwa waafrika walio wengi!
 
Hivyo unakubali kwamba suala la kumtangaza mtu kuwa gaidi au kumsafisha linategemea na maslahi binafsi ya hao wahusika?
 
Back
Top Bottom