Mmarekani anasubiri apate sababu tu.
Wamezifunika kwa vilemba.Hazisomeki vizuri.Washauri wa Ayatollah C.V zao zipoje?
Sababu ipi tena wakati Iran alishalipua na kusambaratisha kambi za Marekani hapo Iraq na hakufanya kitu?Mmarekani anasubiri apate sababu tu.
Kama ungekuwa na akili ndiyo ujiulize vizuri licha ya Marekani kuweka kambi kila mahali ili tu kumdhibiti mtu mmoja Iran na bado mke wake Israel anapelekewa moto bila kipingamizi, vipi kama Israel asingekuwa anapata support kutoka kwa mumewe USA?😂
Stori yako ni murua sana.Sababu ipi tena wakati Iran alishalipua na kusambaratisha kambi za Marekani hapo Iraq na hakufanya kitu?
Umesahau mara hii casualties kwa wanajeshi wa Marekani hadi wengine leo ni walemavu wa kudumu kwa mashambulizi ya Iran dhidi ya kambi za Marekani?
Haya kaishambulia mara nne Israel na ametoa onyo ikiwa Marekani ataingilia kati direct kwenye mgogoro huu basi hatosita kushambulia tena kambi na maslahi yake popote pale.
Huyu ni Iran mzee sio Palestine.😂😆
Huu uzi unapotosha sana. Marekani alikimbia kichapo huko Afghanistan miaka miwili iliyopita. Kambi zake zote zilichukulia na Taliban.
Una uhakika kwamba kuna kambi za USA kule Afghanistan?Kwani hamas anamtegemea nani, iran anamtegemea nani, hezbollah anamtegemea nani?
Ukijibu haya maswali utajua kwa nini uliwahi kimtegemea baba ako na sasa hivi baba amo anakutegemea wewe
Sawa. Tuendelee kuomba uzima.Sababu ipi tena wakati Iran alishalipua na kusambaratisha kambi za Marekani hapo Iraq na hakufanya kitu?