Hii ni ramani ambayo hata mtoto mdogo anajua Iran hakuna mahala anakwenda

Mmarekani anasubiri apate sababu tu.
Sababu ipi tena wakati Iran alishalipua na kusambaratisha kambi za Marekani hapo Iraq na hakufanya kitu?

Umesahau mara hii casualties kwa wanajeshi wa Marekani hadi wengine leo ni walemavu wa kudumu kwa mashambulizi ya Iran dhidi ya kambi za Marekani?

Haya kaishambulia mara nne Israel na ametoa onyo ikiwa Marekani ataingilia kati direct kwenye mgogoro huu basi hatosita kushambulia tena kambi na maslahi yake popote pale.

Huyu ni Iran mzee sio Palestine.😂😆
 
Kama ungekuwa na akili ndiyo ujiulize vizuri licha ya Marekani kuweka kambi kila mahali ili tu kumdhibiti mtu mmoja Iran na bado mke wake Israel anapelekewa moto bila kipingamizi, vipi kama Israel asingekuwa anapata support kutoka kwa mumewe USA?😂

Iran hajawahi kutishika na utitiri wa kambi za kijeshi za Marekani yeye akiamua lake anafyatua missiles tu.

Je, umepata picha sasa ya ukubwa na nguvu za kijeshi alizokuwa nazo Iran hadi Marekani na washirika wake kumuwekea kambi kila kona?
 
Stori yako ni murua sana.
 
Kumbe mnamtegemea USA!
Kwani hamas anamtegemea nani, iran anamtegemea nani, hezbollah anamtegemea nani?

Ukijibu haya maswali utajua kwa nini uliwahi kimtegemea baba ako na sasa hivi baba amo anakutegemea wewe
 
Kwani hamas anamtegemea nani, iran anamtegemea nani, hezbollah anamtegemea nani?

Ukijibu haya maswali utajua kwa nini uliwahi kimtegemea baba ako na sasa hivi baba amo anakutegemea wewe
Una uhakika kwamba kuna kambi za USA kule Afghanistan?
 
Hiyo mbinu ya mmarekani ilishwa pitwa na wakati tangu sekeseke lake na kiduku.
Yaani saizi wamestuka hawagombani na kambi mmarekani akileta ujinga watu wanapeleka moto direct Washington. So hayo makambi are useless ndio maana trump yupo kwenye mchakato wa kuyafuta
 
Sawa. Tuendelee kuomba uzima.
 
Hapo Tunazidi Kuomba Usitushwaji Mapigano
 
Bila shaka hy picha n ya miaka 10 iliyopita ila sio ya sasa 2024/25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…