Hii ni sababu kubwa isiyotajwa sana inayochangia Wabongo kutoweza kurithisha utajiri kwa vizazi vyao

Hii ni sababu kubwa isiyotajwa sana inayochangia Wabongo kutoweza kurithisha utajiri kwa vizazi vyao

Utajiri wa kweli ni elimu sio vinginevyo ,wazazi nao wanasema watoto wapenda kula Bata kuliko kifanya kazi
Hii akili ya kwamba utajiri wa pekee i Elimu ni lazima uutazame kwa mapana yake.

Elimu ya shule ndio hii inayotengeneza masomi wengi kuwa tegemezi kwa mifumo ambayo hakufanyi kuwa tajiri au

Elimu ya kiutendaji ambayo ndo msingi wa kuwafanya watu kuwa matajiri wa kudumu.
 
Utajiri wa kweli ni elimu sio vinginevyo ,wazazi nao wanasema watoto wapenda kula Bata kuliko kifanya kazi
Jomba acha kujipa moyo. Elimu sio utajiri. Hapa tunaongelea hela na mali zinazohamishika na zisizohamishika.
 
Tokea nikiwa mtoto Arusha huyo A.M alikuwa anajulikana kwa ujambazi na dhuluma. Na kina Nyari.
Huyo j.nyari nishakutanaga naye
Tulienda kwa kibiashara sema tulipomqlizana naye tukasepa hatukutaka hata kukaa arusha 😄
Tulimpa code+address za uwongo
Wale si walikuwa na style wanakutumia watu,kumbe ss tulishamjuliaa mapemaaa
A.M Sasa ukikutana naye anaongea kiukarimu na upole kumbe weee

Ova
 
Hao ni washenzi mno. Ukimuuzia kitu hufiki na hela nyumbani au benki lazima wakutumie majambazi. Watu wengi sana wamelizwa nyumba zao kihuni.
 
Watu wengi wanalaumu matajiri kutofundisha vizazi vyao namna ya kuendeleza utajiri wao hata pale wanavyoaga dunia bila kujiuliza sababu zinazosababisha hivyo.

Baada ya kutafakari nimeona UKOSEFU WA UADILIFU kwa mzazi na watoto wake inachangia pakubwa sana kwenye hilo. Matajiri wengi nchini wana upungufu mkubwa wa uadilifu kwenye kuupata utajiri.

Karibu kila tajiri wa kibongo ana siri fulani ya uhalifu alioufanya akawa tajiri. Ufisadi, ujambazi, ukwepaji kodi, madawa ya kulevya na uhalifu mwingine hufanywa sana na matajiri wengi ili kuendelea kuwa matajiri. Ili kuepuka mkono wa sheria wengi huamua kupiga kimya na kutomfundisha yeyote wakiwemo watoto wao namna alivyoupata na anavyoendeleza utajiri wao.

Kibaya ni kuwa watoto wengi hukua wakijiendea tu na kudhani maisha ni mteremko. Na wengine hudhani maisha ni ujanja ujanja.

Watanzania tujitahidi kuwa waadilifu ili kutengeneza kizazi cha waadilifu.
Angalia kilichotokea kwa familia ya hanspope ,pamoja ya kuwa na msururu wa wapambe na marafiki ,leo watoto wake wanalalamika wanakosa hata ada ya shule
 
Attachments

  • Screenshot_20241107-115623_Instagram.jpg
    Screenshot_20241107-115623_Instagram.jpg
    353.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom