Ni kwa sababu hakuna hata nchi moja ya kiafrika inayo-practice capitalism, na hii ni ktk cairo mpaka cape town, wote wanafwata aidha 100% communism/islam au some sort of communism/ socialism lkn hakuna anayefwata capitalism thats why, afrika iko backward kila mahali kwa maana communism iko kunufaisha politburo na familia zao na siyo general population …
Kuna nchi nyingi tu zinazopratise sema wanchanganya na socialism kwenye huduma kama afya na elimu... Mifano ni Kenya, Nigeria, south Africa, Rwanda, Morocco, Egypt to name a few
Kuna nchi nyingi tu zinazopratise sema wanchanganya na socialism kwenye huduma kama afya na elimu... Mifano ni Kenya, Nigeria, south Africa, Rwanda, Morocco, Egypt to name a few
hizo nchi zote hazipractice capitalism, kenya kuna wizi na siyo capitalism isitoshe moi kwa miaka zaidi ya 20 alikuwa communist, ak anc ni communist, makaburu walikuwa caipitalist lkn iliisha baada ya anc kuingia, misri mubaraka hakuwa capitalist wote wana communism influence …