Hii ni shida wanayoipata Wanawake matajiri

Binadamu huwezi kupata vyote. Ana vitu lakini anakosa vya utu
 
Nature ya mwanaume yyte ni utawala , unless sio mwanaume kamili
Hiyo nguvu yako ya utawala ndio inamezwa na pesa, hadhi au mamlaka ya huyo Mwanamke

Utawala kwenye nyumba ya watu hata kijiko hujanunua?

Provide for your home ndio uwe mtawala
 
Hiyo nguvu yako ya utawala ndio inamezwa na pesa, hadhi au mamlaka ya huyo Mwanamke

Utawala kwenye nyumba ya watu hata kijiko hujanunua?

Provide for your home ndio uwe mtawala
Hata kama umempenda kwa dhati ndugu zake watakudharau na kuona kwake umefuata hela tu
 
Ukiachana na hizo story mlizopiga. Vipi ulituwakilisha vipi wanaume wenzio?
 
Mara nyingi Iko hivyo,Hilo haliishii Kwa matajiri tuu Bali hata Kwa wanawake Wasomi.

Shida ni kwamba saikolojia ya mwanamke ni kuomba na kunyanyasa ukikosa au akikuzidi Sasa hapo Kwa wanaume ni mtihani..

Wanaishia kununua tuu Vijana wa kuwaduu basi sio kuolewa.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2957][emoji2957]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee! Pole Sana... Naona jinsi ulivyojisikia vibaya... Pole Sana mwamba....
 
Ni kweli sio akiwa tajiri tu ukiwa nae akiwa hana kijikazi cha kumuwezesha hata kupata vimia mia anakuwa mtiifu akianza kupata vijipesa anaanza kukuvimbia; sasa hao matajiri naona balaa lao sio la mchezo
Na hao wanawake wasio na vimia ndo mmewachakaza wamezeeka kabla ya muda maana hakuna matunzo mnayowapa zaidi ya ugali na mchicha.
 
Asitudanganye, wana dharau sana hao ndiyo sababu ya wanaume kuwapiga chini, nina mifano kadhaa kuhusu wanawake wenye pesa ndefu maana ilisha nitokea mimi binafsi, sikuwaweza niliachana nao. Mwanaume ameumbwa kuheshimiwa ndugu, haitabadilika hiyo mpaka mwisho wa hii dunia
 
Vipi hakukupa kimasihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…