Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Hiyo tabia ninayo mimi. Ukinikopa hela ukaahidi utanipa siku fulani, nakupa hata ya mchango wa kijiji. Ikifika hiyo siku huna hela utajuta kunifahamu, utaenda kukopa sehemu ili unipe. Unapokopa kuwa tu mkweli kuwa mwanangu nina shida niazimishe KUNA ISHU IKITIKI TU NITAKUPA, kwa maneno hayo hapo hata mimi nitakukopesha hela ambayo nipo tayari kuipoteza (wabetiji wanasema stake the money which you afford to lose)Kuna wale wa kukopa hela au wanaodai hela yaani utapigiwa simu mpaka ujutie kumfahamu..
Hapo siwezi kukusumbua hata kidogo maana nilishajitoa kupoteza au kupata.