Hii ni Tabia ya Kiswahili ni ya hovyo na inakera sana

Hii ni Tabia ya Kiswahili ni ya hovyo na inakera sana

Kuna wale wa kukopa hela au wanaodai hela yaani utapigiwa simu mpaka ujutie kumfahamu..
Hiyo tabia ninayo mimi. Ukinikopa hela ukaahidi utanipa siku fulani, nakupa hata ya mchango wa kijiji. Ikifika hiyo siku huna hela utajuta kunifahamu, utaenda kukopa sehemu ili unipe. Unapokopa kuwa tu mkweli kuwa mwanangu nina shida niazimishe KUNA ISHU IKITIKI TU NITAKUPA, kwa maneno hayo hapo hata mimi nitakukopesha hela ambayo nipo tayari kuipoteza (wabetiji wanasema stake the money which you afford to lose)
Hapo siwezi kukusumbua hata kidogo maana nilishajitoa kupoteza au kupata.
 
Uswahili mwingine ni kufurahia ubabe wa CCM kuminya haki za wengine,nakuuliza kwa nini unafurahia wengine wakipigwa risasi? Unasema wale ni viherehere. Usiku unavamiwa mapema tu,unanipigia simu nitoe msaada wa kupiga hata risasi hewani! Nami nakujibu acha kiherehere.

Usichekelee mwenzio akipokonywa haki yake
 
Kuna ile:
My wangu: Vipi baby wafanya nini?
Me: Niko kitandani nataka kulala bb
My wangu: Ahaah sawa mambo mengine vipi bby?
Me: Yako poa vipi huko?
My wangu: Sawa baby mic u mwaaah[emoji849]
Me: Me too luv
My wangu: Asante bby mambo mengine vipi?
Me : Yako poa mpz
My wangu: Mambo yanaendaje lakini?
Me: Tuko poa kwakeli
My wangu: Kwa hiyo ndo unalala bby?
Me: Ndio. Si nimekwambia niko kitandani!.
My wangu: Sawa baby mambo yanaenda vizuri lakini? Unalala zako kwa raha zako

Unaweza kumpigia simu mama, baba yake ukawatukana kwa kuzaa kilaza.
Ukampiga block ya maisha.
Nadhani huu muktadha sio sahihi sana.. linapokuja suala la wapendanao ni tofauti sana, maana yeye anataka kuendelea kuskia sauti yako, kama wewe unaona ni kero, itakuwa humpendi
 
Wenye kuuliza "Hello! Upo wapi?", "Huonekani!" au "Unaenda wapi?" pasi na sababu ni moja ya kero hakika!. Unauliza sionekani, kwani nimekuwa invincible?!.
 
Mimi ukinipigia simu hua napokea kama mtangazaji wa redio

Hello kwenye line, nani mwenzangu na unapiga simu kutoka wapi.

Akishajibu hapo juu namrudia tena

Ehee karibu boss. (aeleze shida yake) akianza kuongea utopolo na kupoteza muda nakata simu .
 
Hiyo namba 5 inaendana na ile mtu anakupigia na kukwambia MBONA SIKU HIZI HUNIPOGII SIMU KUNISALIMIA AU NDIO UMENISAHAU KABISA.

Ushamba
 
Aina ya marafiki au ndugu ulio nao ndio wanakuletea huo usumbufu shida ni wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom