Hii ni upendo au ni nn wadau

Hii ni upendo au ni nn wadau

Kula kulala bure mnashida sana.

Mzee anahongwa mkeo na Madanga na wewe unakula? We utakuwa wa Arusha tena Tengeru
Sasa mm natak ushauri wenu huyuuu mwanamke mm nimfanyee nn nimuache cz naumia au nibaki nae nifunike kombe mwanaharamu apitee
 
Mm nikijana nina miaka 28 ivi nina mke na mtoto mmoja mwanangu anaitwa Rose.

Sasa hiki kituu ni kitambo na kinaniumiza sana.

Iko hivii siku moja nimeamka niko hovyo sana akiba sina Rose alitoka kuumwaa so nikawa sina hata ile sent moja hata wa kumkopa sina.

Nilimpigia bimkubwa hana masista zangu pia hawan mambo ngumu, bosi simu zangu hashiki nikawa sina jinsi nikalala.

Sasa bana mama Rose akaniambia eti ampigiee mzee wake ampe kama 20 hivi ila kwa vile mm ni mtu mzima yeye alinidanganya ni baba yake lakin hakuwa baba yake alikuwa mtu mwengine kabisa.

Kiufupi sijui alikuwa mchepuko basi yule jamaaa alimtumia mama Rose 30k.

Hiyoo ilikuwa siku ya mnada tukaenda mnadani kununua mazaga unga mbogaa kama zote ikabaki 10 mama Rose akaninunulia jeans kali ya mtumba maana anajua nguo huyuu mwanamke

Sasa hii kitu mm inanimate na mm huwa nilimwambia na ugomvi ukawa mkubwa akasema huyò jamaaa hampendi ananipenda mm hakuwa na jinsi ya kufanya tungekufaa njaaa

Any way nawambea mmàlize mwaka 2024 salama
Unaoaje hujajipanga
 
Vijana tunapitia mambo mengi sana,nimejiuliza kulikuwa na ulazima gani wa mkeo kukufanya wewe ujue kwamba aliyetuma hyo pesa syo baba yake?

Kwasababu kama angetumia akili ya kuzaliwa tu ile hyo pesa angetumiwa na huyo mwanaume mwenzako bila wewe kujua na akakwambia ametumiwa na baba yake.

Halafu kuna ulazima upi wa mkeo kukubali kabisa kwamba ninkweli yupo na huyo mwanaume tu ila wewe ndyo anakupenda? Kwanini asikatae kabisa kwamba hayupo kwenye mahusiano na huyo mwanaume?

Mshauri ajaribu kuwa msiri na mambo yake.
 
Mm nikijana nina miaka 28 ivi nina mke na mtoto mmoja mwanangu anaitwa Rose.

Sasa hiki kituu ni kitambo na kinaniumiza sana.

Iko hivii siku moja nimeamka niko hovyo sana akiba sina Rose alitoka kuumwaa so nikawa sina hata ile sent moja hata wa kumkopa sina.

Nilimpigia bimkubwa hana masista zangu pia hawan mambo ngumu, bosi simu zangu hashiki nikawa sina jinsi nikalala.

Sasa bana mama Rose akaniambia eti ampigiee mzee wake ampe kama 20 hivi ila kwa vile mm ni mtu mzima yeye alinidanganya ni baba yake lakin hakuwa baba yake alikuwa mtu mwengine kabisa.

Kiufupi sijui alikuwa mchepuko basi yule jamaaa alimtumia mama Rose 30k.

Hiyoo ilikuwa siku ya mnada tukaenda mnadani kununua mazaga unga mbogaa kama zote ikabaki 10 mama Rose akaninunulia jeans kali ya mtumba maana anajua nguo huyuu mwanamke

Sasa hii kitu mm inanimate na mm huwa nilimwambia na ugomvi ukawa mkubwa akasema huyò jamaaa hampendi ananipenda mm hakuwa na jinsi ya kufanya tungekufaa njaaa

Sasa mm natak ushauri wenu huyuuu mwanamke mm nimfanyee nn nimuache cz naumia au nibaki nae nifunike kombe mwanaharamu apitee

Any way nawambea mmàlize mwaka 2024 salama
Jitahidi uwe protector na hauwezi kuwa protector kama huna pesa so focus ila pia acha kuzingatia sana hayo mambo yaliyo tokea utakosa utulivu wa akili.
 
msamehe brother kama amekuambia ukweli nina imani anakupenda ila cha msingi ni kuwamfuatilia asije akaingia kwenye vishawishi au mitego ya huyo jamaa kwahiyo mlinde mkeo zingatia hapo
msamaha unatosha, mambo ya kufuatilia ndo nini ka umesamehe
 
Uchawi ni giza hivyo kwa mwenye Nuru hauna Nguvu yoyote, Kwahiyo hata kama mwanamke ni mchawi huna Mamlaka ya kumuacha
Yaani unakaa na mchawi kisa wewe una nuru, nini itakuwa lengo la nyie kukaa pamoja.
 
Kumuambukiza Nuru na yeye ili giza likae mbali na Yeye Huwezi kuukimbia uchawi hata kama mke sio mchawi ila kama huna Nuru uchawi (giza) utakufikia tu B'se giza halina effects kwa giza
 
Mm nikijana nina miaka 28 ivi nina mke na mtoto mmoja mwanangu anaitwa Rose.

Sasa hiki kituu ni kitambo na kinaniumiza sana.

Iko hivii siku moja nimeamka niko hovyo sana akiba sina Rose alitoka kuumwaa so nikawa sina hata ile sent moja hata wa kumkopa sina.

Nilimpigia bimkubwa hana masista zangu pia hawan mambo ngumu, bosi simu zangu hashiki nikawa sina jinsi nikalala.

Sasa bana mama Rose akaniambia eti ampigiee mzee wake ampe kama 20 hivi ila kwa vile mm ni mtu mzima yeye alinidanganya ni baba yake lakin hakuwa baba yake alikuwa mtu mwengine kabisa.

Kiufupi sijui alikuwa mchepuko basi yule jamaaa alimtumia mama Rose 30k.

Hiyoo ilikuwa siku ya mnada tukaenda mnadani kununua mazaga unga mbogaa kama zote ikabaki 10 mama Rose akaninunulia jeans kali ya mtumba maana anajua nguo huyuu mwanamke

Sasa hii kitu mm inanimate na mm huwa nilimwambia na ugomvi ukawa mkubwa akasema huyò jamaaa hampendi ananipenda mm hakuwa na jinsi ya kufanya tungekufaa njaaa

Sasa mm natak ushauri wenu huyuuu mwanamke mm nimfanyee nn nimuache cz naumia au nibaki nae nifunike kombe mwanaharamu apitee

Any way nawambea mmàlize mwaka 2024 salama
Leo tena kataa ndoa wanatupiga 3-0! Hivi vijana mbona mmekuwa mazwazwa hivyo? Kama zamwamwa vile!
 
Hayo ni makosa yako vumilia tu japo inauma kula ela ya mwanaume mwenzio kwa kipochi cha mkeo
 
hongera! kwa kula jasho la mume mwenzio. hapo lazima mkeo atalipa hilo deni kwa njia nyingine nzuuri tu wala hutakaa ujue. mwanamke ni rahisi kuishi/kutamba mjini kwa P.O.P=power of pussy... #nguvu_ya_nyau.
 
Back
Top Bottom