Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Kazini kwangu wanajua natoka na ww.af mke ndo anapewa hela sio Demu.Sina mengi ya kusema, natoa ushauri tu kwa dada zangu hasa nyinyi mnaoishi kwenye miji mikubwa.
Dada, kama bae wako anajifanya mbahili, hakupi pesa, wewe pika uji asubuhi ukauze kazini kwake.
Usisahau kuja kunishukuru baadae.