Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Kazini kwangu wanajua natoka na ww.af mke ndo anapewa hela sio Demu.Sina mengi ya kusema, natoa ushauri tu kwa dada zangu hasa nyinyi mnaoishi kwenye miji mikubwa.
Dada, kama bae wako anajifanya mbahili, hakupi pesa, wewe pika uji asubuhi ukauze kazini kwake.
Usisahau kuja kunishukuru baadae.
hii imekakavipi binti yanguSawasawa
Sijajua Lengo Lake Ni Nini Hasa.Unajipendekeza lkn hupewi bure mbwwa wewe[emoji23][emoji23]
Aikoooooo [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] mull over. nitaleta mrejesho
Sijaelewa Baba?!hii imekakavipi binti yangu
mjanja sana nakufahamu toka utotoni kawaida yako kusema hujaelewa ili kuongeza uwelewa zaidiSijaelewa Baba?!
🤣🤣🤣sijaelewa unataka nielezee nini Daddy🥴mjanja sana nakufahamu toka utotoni kawaida yako kusema hujaelewa ili kuongeza uwelewa zaidi
Hela mpaka mtu amue kukupa akigoma upati.Sio Kila ofisi zinaruhusu wauza uji mkuu,labda unge shauri plan b endapo plan a itafeli
Madomo zege ndivyo yalivyoSijajua Lengo Lake Ni Nini Hasa.
una afiki ,je lina tija,ukijaribu kuvaa viatu ya mabinti waliko kwenye mausiano na bahili hili linaweza kuwa muarubaini na yapi maoni yako kwa ujumla🤣🤣🤣sijaelewa unataka nielezee nini Daddy🥴
Kwanini? inashida gani 🤣Usijaribu Ndio Itakuwa Mwisho Wa Ndoa Yako[emoji23]
Mi nakakibarua haka mwanaume bahili anipishe....shida kama ni tegemezi lazima uteseke mkuuuna afiki ,je lina tija,ukijaribu kuvaa viatu ya mabinti waliko kwenye mausiano na bahili hili linaweza kuwa muarubaini na yapi maoni yako kwa ujumla
We mwenye kibarua ndo mzuri sasa unacost😀.Mi nakakibarua haka mwanaume bahili anipishe....shida kama ni tegemezi lazima uteseke mkuu
safi sana hiyoMi nakakibarua haka mwanaume bahili anipishe....shida kama ni tegemezi lazima uteseke mkuu
Madomo zege ndivyo yalivyo
Usijaribu Sumu Kwa Kuilamba.Kwanini? inashida gani [emoji1787]