Halafu form one msitusumbue humu ndani,namaanisha akili fupiMngekuwa na kikosi kipana msingepigwa na IHEFU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu form one msitusumbue humu ndani,namaanisha akili fupiMngekuwa na kikosi kipana msingepigwa na IHEFU
Narudia tena weka akiba ya maneno. Sote tumeangalia mechi zote, droo yenu Yanga isiwape jeuri kiivyo ni bad game plan ya Mamelod tu ingawa bado ukiniambia kati ya Mamelod na Al Ahly kwenye michuano hii, Al Ahly wako juu.Akiba gani wakati tangu droo ya robo fainali itolewe makolo walishobokea Sana mamelody wakaacha kujiandaa na mchezo wao na Alahyl sasa ndo timu pekee iliyokandwa nyumbani.
Wakati mnaicheka yanga kuingia robo kwa point chache hamkujua kuna kuliaWeka akiba ya maneno. Kucheka na kulia vyote vimeumbwa
Tulimcheka vipi, kuingia ni kuingiaWakati mnaicheka yanga kuingia robo kwa point chache hamkujua kuna kulia
Basi tufurahie kufungwa goli 1 nyumbani.Mentality ya timu ndogo ni kushangilia sare tena wakiwa nyumbani
Timu kubwa ina mentality ya kushinda lakin ikatiliwa nazi kwenye kidonda katikati ya maboga mawili. KidungurushiMentality ya timu ndogo ni kushangilia sare tena wakiwa nyumbani
Basi acha watu waendelee kucheka timu pekee iliyopigwaTulimcheka vipi, kuingia ni kuingia
Mkuu mpira unakusumbua possession waliyoipata mamelodi ni kipa kumpa pass nyingi beki Kekana mara unaenda kwa Moosa Lebusa unarudi kwa kipa Williams ulitaka hapo Yanga wafanyeje watu wanamiliki mpira ndani ya zone yao wakitegemea pass za kupenyeza ambazo nyingi waliblock wakina Bacca...Yanga wamejituma sana jana wacha waende wakapambane tena huko SA...Ndio ball possession iwe 75 kwa 25 kweli?
Ahsante umeongea nilichoongea. Hawawezi kuelewa hawa kenge walioko kwenye msafara wa mamba.Mkuu mpira unakusumbua possession waliyoipata mamelodi ni kipa kumpa pass nyingi beki Kekana mara unaenda kwa Moosa Lebusa unarudi kwa kipa Williams ulitaka hapo Yanga wafanyeje watu wanamiliki mpira ndani ya zone yao wakitegemea pass za kupenyeza ambazo nyingi waliblock wakina Bacca...Yanga wamejituma sana jana wacha waende wakapambane tena huko SA...
Weka Na Big Chances Ambazo Zumetengenezwa.Ndio ball possession iwe 75 kwa 25 kweli?
Muulize Shalulile kapiga Target ngapi au Nyoso Lorch maana umiliki mpira unaendana na kupiga mashuti golini sio Williams akae na mpira dakika nyingi harafu mtu aseme mambo ya possession sijui...Ahsante umeongea nilichoongea. Hawawezi kuelewa hawa kenge walioko kwenye msafara wa mamba.
1St Leg CAF Champion LeagueTimu kubwa ina mentality ya kushinda lakin ikatiliwa nazi kwenye kidonda katikati ya maboga mawili. Kidungurushi
Katika hatua ya robo fainali hautafuti kucheza sexy football. Pale ni mbinu, mifumo na matumizi sahihi ya nafasi ukizingatia timu inakosa wachezaji muhimu wa kikosi cha kwanza. Sasa kama sio mtu wa football huwezi elewaSasa mnajisifia nini wakati mmecheza mpira wa hovyo namna hiyo.
Hongereni Utopolo......hawa Mamelodi wameyakanyaga watajua hawajui kule bondeni.Ndio ball possession iwe 75 kwa 25 kweli?
Kwa hiyo wangekuwepo mngeshindaBaada ya kikosi kinachoanza kutoka Leo Kuna mbumbumbu wengi walianza kushangilia na kupiga miluzi kwenye vibanda umiza wakisema yanga anachakazwa goli za kutosha Leo!
Baada ya kutomuona pacome, yao yao na aucho, lakini wakashindwa kujua ya kwamba yanga inacheza kitimu zaidi na sio kutegemea mchezaji mmoja mmoja, na pia wakashindwa kujua mechi za mtoano zinachezwa kimbinu zaidi ili kuvuka hatua inayofata!
Mechi ya Leo ilichezwa kimbinu na kocha GAMOND alijua key players wake muhimu awapo ivyo alikuja na mpango mkakati wa kuvunja mbinu zote za Mamelod wanazotumia kupata mabao anastahili pongezi sana!
Ufanisi tu kwenye umaliziaji ndio umeiangusha yanga lakini wamefanikiwa kucheza kimbinu na timu kubwa Kama MAMELODI iliyokuwa imesheheni nyota wake wote!
Mechi ya Pretoria ni mpya na yanga sio mwepesi kwenye mechi za ugenini Mamelod wajiandae tu wasidhani watapata mteremko Ngoma itapigwa mpaka kieleweke!
N;B wale wazee wa kuchoma viwanja Kama ndio wangewakosa wachezaji wao muhimu 3 basi ilikuwa ni kiama(kauka nikuvae) wangejuta!
Halafu kuna mtu mmoja asiyejua mpira anajiita Danielmwasi anamkosea heshima huyu kocha.Gamondi is Genius. Nimejifunza kitu kikubwa sana kwenye maisha has kupitia kile alicho kifanya Gamondi jana.
Use what u have to get what u want