Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Timu zote zilitaka kushinda, hakuna aliyetaka droo au kufungwa. Waliotoa droo siyo kwamba wanajielewa, maana hata wao wanajua wamefeli plan.Angalia timu zote zinazojielewa zimetoa droo nyumbani, mikia pekee ndiyo imegongwa, mechi hizi zinachezwa kwa akili Kama ujafunga basi usiruhusu goli kwako ndio maana mnaitwa mwakarobo mnazicheza mechi hizi Kama mnavyocheza ligi mtaendelea kuishia hapo mpaka akili ziwakae sawa
By the way, kwa hizi timu kubwa kama Al Ahly na Mamelodi, hata kama Simba na Yanga zingeshinda kwa margin ndogo (mfano: 1-0 au 2-1) bado uwezekano wa kwenda kutolewa huko ughaibuni ni mkubwa.