Hii ni Yanga sio Simba, maana ya Kikosi kipana ndio hii! Hakuna Pacome, Aucho na Yao, unatoa sare na Mamelodi iliyokamilika kila idara

Akiba gani wakati tangu droo ya robo fainali itolewe makolo walishobokea Sana mamelody wakaacha kujiandaa na mchezo wao na Alahyl sasa ndo timu pekee iliyokandwa nyumbani.
Narudia tena weka akiba ya maneno. Sote tumeangalia mechi zote, droo yenu Yanga isiwape jeuri kiivyo ni bad game plan ya Mamelod tu ingawa bado ukiniambia kati ya Mamelod na Al Ahly kwenye michuano hii, Al Ahly wako juu.
 
Ndio ball possession iwe 75 kwa 25 kweli?
Mkuu mpira unakusumbua possession waliyoipata mamelodi ni kipa kumpa pass nyingi beki Kekana mara unaenda kwa Moosa Lebusa unarudi kwa kipa Williams ulitaka hapo Yanga wafanyeje watu wanamiliki mpira ndani ya zone yao wakitegemea pass za kupenyeza ambazo nyingi waliblock wakina Bacca...Yanga wamejituma sana jana wacha waende wakapambane tena huko SA...
 
Mtu kafungwa nyumbani, anamcheka aliyetoa sare, tena bila nyota wake watatu.

Mrchi za mtoano ni technical, ball possession ya MSFC haionyeshi ukweli kuwa walikuwa na 2shots on target as compared na YNFC ambayo ilikuwa na 4shots on target, actually wilikuwa na chances kubwa ya ushindi kwa nafasi hizo nne.
 
Possession ya Mamelod ilikuwa ni mipira ya nyuma walihold sana mpira nyuma na kwasababu hatukufanya pressing ya kutosha. Hatukufanya pressing kwasababu Mamelod ni wakubwa wenzetu huwezi kuwaendea kwa papara. Lakini sio kwamba walipossess labda kwa kuupiga mwingi kila kona.
 
Ahsante umeongea nilichoongea. Hawawezi kuelewa hawa kenge walioko kwenye msafara wa mamba.
 
Kwa hiyo wangekuwepo mngeshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…