Hii ni Yanga sio Simba, maana ya Kikosi kipana ndio hii! Hakuna Pacome, Aucho na Yao, unatoa sare na Mamelodi iliyokamilika kila idara

Timu zote zilitaka kushinda, hakuna aliyetaka droo au kufungwa. Waliotoa droo siyo kwamba wanajielewa, maana hata wao wanajua wamefeli plan.

By the way, kwa hizi timu kubwa kama Al Ahly na Mamelodi, hata kama Simba na Yanga zingeshinda kwa margin ndogo (mfano: 1-0 au 2-1) bado uwezekano wa kwenda kutolewa huko ughaibuni ni mkubwa.
 
Nimesema wapo sawa kwa sababu chance ya wao kushinda ugenini ni zaidi ya ndogo. Yaani hata kama wangeshinda hapa home kwa tofauti ndogo ya magoli, uwezekano wa kwenda kutolewa huko ughaibuni bado ni mkubwa.

Hakuna meza za kupindua kule Egypt na South Africa. Hazipo!
 
izo ni hisia zako wew zimekutuma utabiri matokea ya aina hiyo mfano na Simba ikitokea kashinda mbili moja Na Yanga akaenda kufugwa moja bila kina Nani wataenda Nusu
Ndio ujue kuwa Yanga sio lazima ashinde ndio asonge mbele bali sare yeyote ya magoli yanambeba. Hiyo ndio faida ya kutoruhusu goli. Ila Simba ni lazima washinde ndio wasonge mbele ni kwasababu wameruhusu goli. Hivyo mpaka hapo hakuna usawa kati ya Yanga aliyetoa sare na Simba aliyefungwa.
 
Yanga ili afuzu sio lazima ashinde mechi hata sare ya magoli inampeleka mbele. Kitu kikubwa cha faida kwa Yanga ni kutoruhusu goli. Mechi ya marudiano kule South, Mamelod wanatakiwa watafute magoli na wakati huo huo wasiruhusu Yanga kupata goli.
 
HAKIKA YANGA NI TIMU BORA

Makolokolo yangecheza na Mamelodi yangepigwa 4
 
We sema tu ni mwanasimba

Unaombea wote tutolewe

Aaahaaa
 
Yanga ili afuzu sio lazima ashinde mechi hata sare ya magoli inampeleka mbele. Kitu kikubwa cha faida kwa Yanga ni kutoruhusu goli. Mechi ya marudiano kule South, Mamelod wanatakiwa watafute magoli na wakati huo huo wasiruhusu Yanga kupata goli.
ilo Goli unaloenda kufunga South Africa atafunga mzize au
 
Kwani zile tano ulifungwa na akina nani?
kwahyo Simba ni mamelod au sio kisa alifunga Goli dhidi ya Simba basi na mamelod atawafunga Mbona jana karuruka tu hajafunga Tena ndio mchezaji aliyekosa big chance
 
Imagine simba bila chama na kibu ingechezaje
Na ndio maana wakasajiliwa na timu ili waongeze mchango kweny timu wew huna tofauti na wale jamaa yani bila kipa kudaka lile shuti lingekua Goli pale hujui hata umuhimu wa specilization na Division of labour kweny kazi Ndio maana umendika uwo upupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…