Kijitikile ngwale 2 reloading 😅....Yani this people never learn.Offcourse, Corona ni kaugonjwa kadogo sana. Tutamtokomeza shetani wa COVID-19 kwa kula sacramenti na kukesha tukiomba. TIA, This Is Africa!
.....na Osama pia, ni sifa na heshima kubwa.ndio maana mnamchora mpaka kwenye magari yenuView attachment 1400164
.....na Osama pia, ni sifa na heshima kubwa.
Uchaguzi na kushupaza shingo kunahusiana vipi.Halafu na kwenu huko si ndio mnajiandaa kwa uchaguzi mwaka huu, nimeelewa kwanini imewabidi hata nyie mshupaze shingo.
Nilikua nashangaa kwanini ukanda huu nyie ndio muonekane kutozingatia tahadhari yoyote.
Hehee, spot on. 🦇 fly at night. Huenda wakenya wanakula popo pia. Hii maamuzi ya gova yao tusiichukulie poa, hawataki nyang'au ziwinde 🦇.Covid19 imetokana na Popo, so wapo active zaidi usiku kama ancestors popo wapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu bamutu anakulaga miraaLOL what the hell relationship between *go back to work * and +stimulus package +? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Absolutely two planets apart
IQ ya mende, [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1][emoji1][emoji1] Tena bila kutumia matusi ya vijijini vijijini, kama kunguni, mende na sijui panya. 😀 Naton Jr, hiyo ndio inaitwa 'hallmark of high intellect', if you know what I mean. Omera but do I say? Naona unaweweseka sana na suala la IQ.Wee jamaa yaani hawa Watz huwa hawana hamu na wewe, huwa unawatesa sana.....hehehehe
Achana na hawa viumbe, vitu simpo kama 'economic stimulus' na 'restrictions' kwao ni masamiati ya sayari nyingine. Hawa walikimbiza mwenge kama vichaa hadi wakaacha akili zao nyuma.Ati unasema hakuna uhusiano wowote wa "Economic stimulation" na restrictions. Yaani hata vitu basic huelewi sijui utaelimishwa nani .
Saa hii Us wanadeal na reduction in demand ya agricultural products ,Tech gadgets, Technology ,Cars e.t.c. Sales ya vitu ka Iphone imeshuka .
Kazi yako nikujifanya Economist na hata huelewi basics.
Kama hata ukabila umewashinda kumaliza, kitu gani ninyi mnaweza?Achana na hawa viumbe, vitu simpo kama 'economic stimulus' na 'restrictions' kwao ni masamiati ya sayari nyingine. Hawa walikimbiza mwenge kama vichaa hadi wakaacha akili zao nyuma.
Mzee wa dozii, heshima kwako.....na Osama pia, ni sifa na heshima kubwa.
Waafrika wengi hawana hata uhakika wa mlo wa jioni leo wanataka waache kufanya kazi kisa corona shenzi sana. Tuzuie corona tuue watu kwa njaa.
Binafsi sikubaliani dunia nzima kusimama kisa hiki kirusi, maisha lazima yaendelee, JPM aliona mbali alisema watu wachukue tahadhairi ila lazima wapige kazi, KE na RW kama kawaida yao, wazee wa kuwafurahisha mabwana zao wa magharibi wanafahamika kama "Western Dearest" walikua wa kwanza Africa nzima kudandia hili treni as expected. Sasa wanaonenaka vituko maana hamna cha maana wamefanya.
Haya mafua yanaua sana mizungu acha wao wachukue extreme measure sisi tusicheze ngoma isiyo yetu kama ambavyo wao hawakusimama hata sekunde moja wakati wa ebola zaidi ya kuchukua tahadhari tu.